Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

upload_2018-3-2_5-52-44.png

White For HTC Desire 816 (A5) D816n D816d LCD Display Touch Screen + Frame kiongozi niangalizie hii na kama bei ni ile ile uliyonambia
Habari ndugu mgaka12
Kabla ya kufanya manunuzi pia hakiki na kujiridhisha iwapo connector zinafanana na simu unayotumia.
upload_2018-3-2_5-54-35.png

Nitaupokea mzigo kwanza kwenye ofisi zangu za HongKong then utatumwa TZ

Ghalama hadi mzigo unakufikia ni TZS 107,556.48

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe.

Ahsante
 
Duh uzi mzuri sana aiseeh, ngoja niwastue na wenzangu wachangamkie hili dili
 
Kwa hiari yangu , na kwa furaha nilio nayo, kutokana na huduma ilio BORA, Kutoka kwa Mwl.rct na washirika/wasaidizi wake imenijegengea IMANI kubwa, Wamenihudumia Zaidi ya mara nne kuagiza bidhaa toka nje ya nchi,
HONGERA SANA MWL.RCT

- Very good communication

- Very good customer care

- High Integrity

- Trustful
 
TZS 82,845

Seller atatuma kwa "Economy International " huchukua muda mrefu kufika, Huwa ni wiki 3 hadi 5.

Ukiwa tayari kufanya malipo nijulishe.
Asante mwalimu,unaweza kunichekia best offer with fast delivery?
 
Back
Top Bottom