Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TZS 465,600Mkuu naomba kuhuliza hii kitu adi ifike bongo sh ngapi
Mi A1 price, specifications, features, comparison
TZS 161,336Mwl.RCT nahitaji Dell Optiplex 990 Small Form Factor Motherboard na nimeiona amazon
https://www.amazon.com/gp/aw/d/B009...otherboard&dpPl=1&dpID=41TYH24lC6L&ref=plSrch
Je hii inaweza kuwa kiasi gani jumla mpaka kufika hapa?
View attachment 754923View attachment 754924
16Kuna ROM size hizi: 16GB, 32GB na 64GB
Je hitaji ni ya size ipi?
Habari yako ,Nipe shule kuhusu hii fire tv stickMWL RCT
Napenda kutoa shukrani kwa kunifanikishia kupata AMAZON FIRE STICK. kutoka USA kwa muda mfupi (siku 9) bila longolongo zozote. Kama unavyoona TV yangu ni 55" 3D hivyo nilikuwa sipendi kubanwa na channel za vinga'amuzi.
Pia CHIEF MKWAWA nakupigia saluti kwa umahiri ktk kazi zako za ufundi mpaka kunielimisha kupata hiki kifaa.
Pamoja sana.View attachment 751074View attachment 751076View attachment 751079
Naona nimekujibu pm hii kitu ni kwa watu wanaopenda tech za kisasa pia acc amazon na pia watu wenye bando za kuunga unga hazifai, yaani ununue tv 55" halafu bando la kudunduliza. Amazon wako juu. We fikiria unaacha rimot pembeni unaongea na screen na inafanyakazi !!!Habari yako ,Nipe shule kuhusu hii fire tv stick
Safi, naomba utaratibu wa kuiagiza na malipo unakuwaje?TZS 161,336
Muda: Ndani ya siku 14
TZS 98,195Naomba kujua bei ya hii product New 2018 Autumn Winter Boots for Men Chelsea Boots Cow Suede Leather Winter Shoes Fashion Men's Boots Brand Shoes
New 2018 Autumn Winter Boots for Men Chelsea Boots Cow Suede Leather Winter Shoes Fashion Men's Boots Brand Shoes-in Chelsea Boots from Shoes on Aliexpress.com | Alibaba Group to Clipboard
stream movies, listen to music, and access a wide variety of other content. Wirelessly stream movies, TV shows, sports, news and moreFire TV stick ni nini?
Bado unayo mkuuNinayo dar full box ukiitaj