- Item shipping weight? hakuna maelezo yake kwenye link husika.
- Hii item ili ifike tanzania itakuwa na route mbili , Zote
zinalipiwa usafirishaji kutokana na uzito wake.
[a] Toka kwa muuzaji hadi ofisini ndani ya china katika mji wa Shanghai
{B} Shanghai kuja Tanzania
View attachment 978470
Mzigo ukifika nchini
[a] Clearance & handling charges toka kwa agent husika JNA
{b} Malipo ya VAT/ Tax - Toka mamlaka husika
Ndio sababu item kama hizi nimeshauri uangalie AMAZON ili tupate shipping weight, hivyo tunakuwa na ghalama ya manunuzi na kusafirisha hadi TZ, na tunakuwa tumebakiwa na Hizo ghalama za hapa nchini.
Rejea kwenye posti ya kwanza kwenye hii thread kipengele cha
MASOKO KUNDI B
KARIBU