Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Daah😁😁😁😁Mkuu vip hali yako.
Nataka pikipiki aina ya Vespa vipi zinapatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah😁😁😁😁Mkuu vip hali yako.
Nataka pikipiki aina ya Vespa vipi zinapatikana.
😁😁😁Habari ndugu.
Jaribu kuuagiza Zanzibar, zinapatikana.
TZS 770,400
- Habari
Habari.Mkuu Pole kwa kazi na ahsante kwa kazi nzuri naitaka hii Iphone nakutumia shilingi ngapi mpaka kunifikia?
Apple iPhone 6s 32GB Plata Libre Nuevo 2 Años de Garantía | eBay
Pia naomba na bei ya hii mpaka kunifikia ikiwezekana nichukue zote kwa pamoja kaka
New Apple iPhone 6s 64GB Factory Unlocked a1688 ios Smartphone Space Grey | eBay
Habari.
Tumia link za aliexpress: Buy Products Online from China Wholesalers at Aliexpress.com
Sababu hizo za ebay bei zake hazina uhalisia.
TZS. 322,344US $103.44 50% OFF|Factory Unlocked Original Apple iPhone 5S 16GB/32GB/64GB ROM 4G Touch ID iCloud WIFI Fingerprint IOS 4.0" Dual Core mobile phone-in Mobile Phones from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group
Mkuu nisaidie kupitia hii unipe full bei mpaka kunifikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Refurbished iPhone 7 Plus 32GB - Jet Black (Unlocked) - AppleHabari
Ni vyema ukarudia tena kusoma hii thread na kutambua dhima/lengo kamili.
Soma japo kipengele cha UTANGULIZI
Angalizo: Kwenye hii thread hakuna bidhaa ninayouza.
Karibu
TZS: 1,455,432Refurbished iPhone 7 Plus 32GB - Jet Black (Unlocked) - Apple
Hiyo hapo mkuu,
Jipe jumpa ya gharama zote mpk inanifokia mkononi, tenganisha hizo gharama kwa mchanganuo na itachukua muda gani
Mkuu bora nikanunue hizi huku bongo, mana ni mpyalkn bei iko chini ya hapo.TZS: 1,455,432
Muda: Ndani ya siku 14
Njia ya malipo: Mobile Banking
NB: Mzigo ukifika nchini iwapo kutakuwa na tozo la VAT toka mamlaka husika wakati wa clearance basi itajulikana ni kiasi gani na utajulishwa.