Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

earphone
usb charger
flash
memory card.
- Kila muuzaji ana kiwango cha chini alicho jiwekea.
- Ni jukumu lako kuangalia muuzaji anataka uchukue kuanzia idadi kiasi gani na mahitaji yako ni yapi.

Karibu
 
Naitaji hii android TV box mbaka kunifikia kiasi gani nipo dar es salaam buguluni
Screenshot_20190619-120908.jpeg
 
Hapo maana yake ni nini?
Mwl

"no return but backed by ebay money back guarantee "
Screenshot_20190619-161759.jpeg
 
"no return but backed by ebay money back guarantee "
Muuzaji akishauza bidhaa husika, hakubali kuirudisha kwake.
Ila kwakuwa manunuzi yamefanyika ebay, wao ebay ndio watashughulikia malalamiko yako, hata kurudishiwa fedha baada ya wewe kuirudisha item husika.
 
Back
Top Bottom