Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Sh ngapi mpaka inifikie
Bei hii ya ebay haina uhalisia, ingia aliexpress.com na chagua tena: https://www.aliexpress.com/i/32982411385.html
 
TZS. ‭3,001,200‬
Mwl. Habari za majukumu

Samahani kuna mashine ina uzito wa almost 1.5ton kwa 4000usd including freight

Sellers nimempa adress zangu ambapo mzigo nimemwambia unafikia
Dar Es Salaaam port Tanzania Republic of

Sasa jambo ninaloomba unishauri je?

Mzigo ukifika Dar Es Salaaam port natakiwa nifuate taratibu zipi pale badarini ili kupata mzigo wangu?

Changamoto kubwa zipo wapi wakati wa delivery
Naomba msaada wako mwl. ili nijipange mapema
 
Mzigo ukifika Dar Es Salaaam port natakiwa nifuate taratibu zipi pale badarini ili kupata mzigo wangu?
Utapigiwa simu na shipping agent atakeyepokea mzigo wako, Pia utakuwa na mawasiliano yao atakupatia seller, (utaona katika BL documents utakazopewa) baada ya mzigo kutumwa.
Changamoto kubwa zipo wapi wakati wa delivery
Hakuna changamoto zozote, agent ndio atashughulikia taratibu zote, wewe jukumu lako ni kutoa fedha kila itakapo hitajika na agent kufanya hivyo kwa kila hatua wanayofikia.
 
Tuangalie huu mfano.
- Muuzaji A anauza USB Flash kwa US $3 na anasafirisha kwa USD 2
Wakati huo huo
- Muuzaji B anauza USB flash kwa US $1.5 na anasafirisha kwa USD 3.5

Wote muuzaji A na Muuzaji B wanatumia Aliexpress standard shipping.

Je wewe utanunua bidhaa kwa muuzaji yupi kati ya Muuzaji A na B?
aha ok i got your concept,lets say ni kuibiana kiaina i cant believe yaani mwingine unakuta mpaka $51 wakati mwingine ni $18 sasa nashangaa yaani kusafirisha tu mihela yote hiyo,cha kushangaza kuna bidhaa shipping cost ni kubwa kuliko hata bidhaa yenyewe
 
O.K so hiyo TZS 417,240 ni inclusive ya TZS 15,000?
Nimepokea malipo uliyofanya.

Utapewa tracking number pindi muuzaji akituma.

Huchukua kati ya siku 2 hadi 5 kwa muuzaji kutuma mzigo na kutoa tracking number.
 
Back
Top Bottom