Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwl.RCT , scope yako ya BUYFORME ikoje. Namaanisha nature ya mzigo.

Nimeona 95% ya waagizaji hapa tunaagiza vitu vidogo vidogo (electronic devices, cm, earphones).

Vipi kuhusu vitu vingine (gari, mashine fulani mfano labda Printer kuubwa, mzigo fulani wa kubeba kwenye centa kabisa.)

What is the scope of buyforme?
In other language, what kind of things you don't offer the service??

Thank you.
 
Aina zote za order zinafanyika.
Bila kujari ukubwa.
Hata kama ni mzigo wa containers kadhaa utasimamiwa na utafika

Karibu
 
TVs zinakua zinacost kiasi gani usafiri kutoka Uchina mpaka bongo
Ukiagiza moja - Gharama ni kubwa, mara mbili ya gharama ya hapa nchini.

Ukiagiza mzigo mkubwa - mfano 500pcs gharama ni ndogo, sababu itakuwa ni order toka direct kiwandani, na mzigo jutakuja kwa meli.

Hivyo kwa TV ni vyema ukanunua hapa hapa nchini
 
Asnte sana mkuu je kama kuna mtu akisema asafiri nayo kwa ndege je garama zinaweza pungua au ndio yaleyale tu
 
Nahitaji na hii pia, one piece
Screenshot_20190628-120719.jpeg
 
Mwalimu naomba nichekie hii mpaka kunifikia mbeya mjini hapa ni bei gan.

Back
Top Bottom