Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Mwalimu naomba nichekie hii mpaka kunifikia mbeya mjini hapa ni bei gan.

Link haiko sawa, haifunguki. Weka tena.
 
Link haiko sawa, haifunguki. Weka tena.
 
TZS. ‭73,200‬
Muda: Wiki tatu
Njia ya malipo: Mobile benking

Karibu
 
Mwl.RCT , scope yako ya BUYFORME ikoje. Namaanisha nature ya mzigo.

Nimeona 95% ya waagizaji hapa tunaagiza vitu vidogo vidogo (electronic devices, cm, earphones).

Vipi kuhusu vitu vingine (gari, mashine fulani mfano labda Printer kuubwa, mzigo fulani wa kubeba kwenye centa kabisa.)

What is the scope of buyforme?
In other language, what kind of things you don't offer the service??

Thank you.
Habari Dada Deborah...

Naomba nirukie hili swali japo ni la Mwl.RCT

Niliagiza mzigo kupitia mwalimu... Nilichagua mzigo nikampa link... Ili kuwa mashine za upimaji (nazani nikizungumza hili atakuwa ana nikumbuka) nilishindwa tu kuleta ushuhuda hapa kwa wakati...

Mashine ime gharimu zaidi ya 20M mpaka ina fika...

Na bado ikitokea naitajika kupata huduma ya kiufundi toka kwa muuzaji Mwl.RCT ana nisaidia... Hili nijambo ambalo siwezi sahau maana hii ilitakiwa iwe ni huduma nyingine ya kulipia...

Nami napanga niweze kumpa shukrani japo kwa kapesa kadogo... Tuombe uzima tu... Nimefurahia huduma zake

Hivyo ktk kuagiza mashine kubwa kusiwe na wasiwasi na kuhusu labda pesa kubwa pia kumpa Mwl.RCT hutakiwi kuwa na wasiwasi... Siku wahi onana nae lakini mzigo (mashine ) nililetewa mpaka nyumbani hapa DSM...

Japo sijui Mwl.RCT ni mwalimu wa shule ya msingi, Madrasa, mwalimu wa dini, secondary au chuo...

Huduma zake ni nzuri una uhakika wa kupata mzigo...

Uzuri wa kumtumia Mwl.RCT ina maana yeye ndio anakuwa ktk risk ya kukupatia mzigo yani yeye ni Bima kwa wateja wake...! Ili nazani watu hawaja liona ndio maana wana hofu... Mkiangalia hili wala hofu hamtakuwa Nazo... Mwl.RCT ndio anatakiwa kuwa na hofu juu ya manunuzi ya mizigo ya wateja wake...
 
Xiaomi Redmi Note 7 Pro 6Ram 128gb ina gharimu kiasi gani hadi kufika. Na inachukua muda gani?
 
Habari ndugu Chillah

Ahsante kwa mrejesho na Ahsante tena kwa maelezo ya kina juu ya hii huduma ya manunuzi.
 
Back
Top Bottom