Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nafikiria kuagiza Pete za ndoa, naomba kujua kipi nafuu Kati ya kununulia nchini au kuagiza nje
 
Nafikiria kuagiza Pete za ndoa, naomba kujua kipi nafuu Kati ya kununulia nchini au kuagiza nje
Vito vya thamani, kuna restriction katika usafirishaji.

Tafadhari nenda kanunue hapa hapa nchini kwa sonara.

1618052231379.png
 
Ram na internal ngapi kwa bei hiyo Teacher...?

Na siku ngapi inachukua kukufikia chief...?
CPU------------------------Snapdragon 678 Octa Core CPU, up to 2.2GHz

Screen--------------------6.43 inch 2400x1080P FHD+ AMOLED Display

RAM+ROM---------------4GB+64GB

Camera------------------48MP+8MP+2MP+2MP Quad Rear Camera, 13MP Front Camera

Battery------------------5000mAh(Typ), Support 33W Fast Charging, In-box 33W Charger

OS-----------------------MIUI 12, MIUI Global, Support Google Play, Multi-Language and OTA Update

Other-------------------WIFI, Bluetooth 5.0, GPS, Fingerprint ID, 3.5mm Headphone Jack

Package Content-----Redmi Note 10 / Adapter / USB Type-C cable / SIM Eject Tool / Soft Case/ User Guide / Warranty Card

Network---------------Full Netcom, Dual SIM Dual Standby (Nano SIM Card Slot x 2+ Micro SD Card Slot x 1 )
  • 4G: LTE FDD B1/2/3/4/5/7/8/20/28
  • 4G: LTE TDD B38/40/41(2535-2655MHz)
  • 3G: WCDMA B1/2/4/5/8
  • 2G: GSM 850 900 1800 1900 MHz
inachukua kukufikia chief...?
1620530333596.png

Muda: Wiki 4
 
Hii gharama yake ikoje??
Kuna awamu Tatu za kufanya malipo

#1. Manunuzi TZS. 905,250 - Ndio kiasi inatakiwa ulipie kwa sasa

#2. Kusafirisha - Ghalama itatokana na uzito wa package husika, itajulikana baada ya mzigo kufika kwa courier DHL/ARAMEX, Waweza kulipia ndani ya siku 14.

#3. Tozo Tax/VAT - Itajulikana baada ya mzigo kufika nchini. Utaenda kulipia benki
 
Mimi nahitaji nguo za watoto kutokea south Africa kwenye maduka ya ackermans na mr.price na mengineyo
Naomba unitumie hiyo link
 
last time walisemaga hawatumi kwetu au wewe una mtu kule?
  • Kwenye post #1 nimezungumzia masoko kundi B
  • Kinachofanyika
#1. Nanunua na Ninapokea mzigo Sandton (Gauteng), SA
#2. Kisha nautuma kuja Tanzania
 
Back
Top Bottom