Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Huyu jamaa ni clone? Au ni vipi mbona bei yake ndogo
1673355029575-png.2476336

=
Simu ya kichina hiyo| Ina muonekano kama S22 | Ndio sababu bei yake iko chini, haivuki TZs. 400,000
 
Je muuzaji ana model zipi kwa sasa?
1676964531363.png

=
Model iliyopo | DDL-5550N
Head size: 670x445x595mm Weight: 80kg
Table size: 124x58x12cm Weight: 28k
=
1676964613143.png

=
Manunuzi $460, Then zitafuata gharama za usafirishaji toka kwa agent baada ya kuupokea mzigo.
 
Mkuu, naomba nichekie gharama ya motor gate complete set kwaajili ya kufanya geti liwe la umeme (kutumia remote)
 
Mkuu hizi ni bei gani

Habari Ndugu, Bei hutegemea

1. Idadi ya mzigo,
2. Njia ya usafirishaji aliyopanga muuzaji.

Hivyo nipe idadi unayohitaji, na nitawasiliana na muuzaji kuhusu taratibu za kusafirisha bidhaa yako kuja Tanzania.

Kumbuka kuwa utaratibu wa manunuzi wa Alibaba ni tofauti na ule wa Aliexpress au eBay ambapo gharama za usafirishaji zinajumuishwa.

NB: Muuzaji huyu anataka kiwango cha chini cha kuagiza kiwe 1000pcs, hivyo niambie unahitaji idadi kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom