Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Shukuran, mm nilikua nataka kwa ajili ya matumizi binafsi ladba 2 au 3 sijo kwa ajili ya biashara.Habari Ndugu, Bei hutegemea
1. Idadi ya mzigo,
2. Njia ya usafirishaji aliyopanga muuzaji.
Hivyo nipe idadi unayohitaji, na nitawasiliana na muuzaji kuhusu taratibu za kusafirisha bidhaa yako kuja Tanzania.
Kumbuka kuwa utaratibu wa manunuzi wa Alibaba ni tofauti na ule wa Aliexpress au eBay ambapo gharama za usafirishaji zinajumuishwa.
NB: Muuzaji huyu anataka kiwango cha chini cha kuagiza kiwe 1000pcs, hivyo niambie unahitaji idadi kwa kiasi gani.
lkn mfano pc 1000 inakua sh ngapi, naona watu wengi wanaviulizia