Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Hakuna hili toleo 16/256
Bali kuna haya matoleo
  • 12/128
  • 12/256
  • 12/512
  • 16/512
Bei (Bila usafirishaji /kodi ) ni hizi

Je kati ya hizo unachukua ipi, Kw kuwa uliyohitaji 16/256 hakuna?
Nataka iyo 12/256
 
Nataka iyo 12/256
1702359561673.png

Ikiwa mpya 12/256GB | Sealed box | Bei US $763.17 | Manunuzi na kusafirisha ndani ya USA
==
1702359723777.png

Used | Renewed | 12/256GB | Bei US $459 | Manunuzi + kusafirisha ndani ya USA

Swali
:
Je unachukua mpya au used?​
 
1702776230647.png

Site: amazon
Item : /gp/product/B0011UB9CQ/ref=ewc_pr_img_1?smid=AZH80ONF88EC1&th=1
 
1702887987820.png

Product URL code: /dp/B0C8QSW1JZ?psc=1&ref=ppx_yo2ov_dt_b_product_details

( Andika amazon dot com, kisha ifuatiwe na hiyo url code)
 
1703046680512.png

=
1703046727016.png

=
Site: AMAZON
Books URL: /b?&node=23579470011&ref_=pe_91249650_785613860_sc_4_1_manu_img ( Paste baada ya .com)
 
kaka mimi ni kamera man nikitaka niagize flying drone kutoka website ya DJI ambayo hawaship Tanzania bidhaa zao unanisaidiaje
Habari.

Ndio lengo hasa la hii thread | Ambapo nimetatua changamoto ya logistics kwa ununuzi wa bidhaa toka mahala popote pale.

Hivyo ondoa shaka, manunuzi yatafanyika, usafirishaji hadi Tanzania utafanyika, Clearance Itafanyika na delivery nafanya Tanzania nzima (Mikoa yote) na nchi jirani kama DRC.

Karibu Nikuhudumie.
 
sawa kiongozi sasa nikitaka unifanyie tathmin ya bei amabo hyo product ntakuwa nimpeta kuweza kuiweka hapa sababu siijui link yake nawezaje kukopi
Andika details zake.
  • Screenshot maelezo yaliyopo kwenye hiyo bidhaa nami nitaitafuta.
  • Then nitakupa Gharama yake.
 
Back
Top Bottom