sidemorreira
Member
- Oct 25, 2018
- 66
- 44
samahan kiongozi naomba unichanganulie hii nione naweza kuishi na ipi hapa tafadhali sanaInvoice value itakayo ambatana na mzigo huiska
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
samahan kiongozi naomba unichanganulie hii nione naweza kuishi na ipi hapa tafadhali sanaInvoice value itakayo ambatana na mzigo huiska
Inachukua muda gani mpaka huo mzigo kunifikiaTZS. 1,736,100
sawa kiongozi pendekezo la kwanza ndo nikilihitaj kutokana na ubora wa kamera yake chaguo la pili niliweka kama matokeo ya kufeli chaguo la kwanza kulingana na bei naombq muda niweze kukamilisha kitita ili nichukue lile chaguo la kwanzaSiku 7 hadi 10 baada ya mzigo kukamilisha route #1.
- Route #1 | Ni shipment ndani ya USA
Japo kuwa nawaza kodi azitaweza nifikisha Milioni 3..Siku 7 hadi 10 baada ya mzigo kukamilisha route #1.
- Route #1 | Ni shipment ndani ya USA
sawa chif ngoja nijivute nichukue hyo DJI mini 4 pro hyo ingine kamera hazina vigezo nahitaji chif
Sawa boss soon nakujiaaTZS. 83,700
Shukrani mkuu
1. Mzigo umekamilisha Route #1: | Kutoka kwa seller hadi kwa shipping wharehouse Ndani ya USA
View attachment 2858577
2. Route #2: Usafirishaji Toka USA kuja Tanzania | Nitakujulisha item ikishakuwa in Transit
Mambo vip mkuu Kuna bidhaa nahitaji kuagiza naomba Whatsapp number yako
Nipate maelezo zaid