Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Samsung A18 pro
Hizi hapa:
1716803932986.png
 
Mkuu samahani gharama hii machine mpaka inifikie ni shingapi?
Just found this amazing item on AliExpress. Check it out!
TZS29,461.75 20%OFF | 12V Mini Angle Grinder Rechargeable Grinding Tool Polishing Grinding Machine For Cutting Diamond Cordless Power Tools
TZS. 148,020
 
Nina mzigo kutoka Uk nataka uende Tanzania, shipped kwa contena. Any lead?
- Je ni aina ipi ya mzigo? ( Nature of goods)
{1} Matumizi binafsi (au vitu vya nyumbani unachotaka kusafirisha kwa ajili ya matumizi yako binafs)
{2} Mizigo ya kibiashara

- Je, utahitaji bima?

- Collection postcode ni ipi.

- Je ni 20FT aau 40FT container

NB: Kwa kuwa baadhi ya taarifa ni too personal basi niandikie PM ili niweze shughulikia Shipping Quote.
 
Code:
 https://ytlansu.en.alibaba.com/
Ingia hapo:


1717826500832.png

1717826537543.png

1717826563916.png
 
🔔Nunua Bidhaa Yoyote kutoka Kenya, Bila Usumbufu!🔔

Je, unatamani kupata bidhaa bora kutoka Kenya bila usumbufu wa usafiri? Sasa unaweza! Fanya manunuzi kwenye tovuti yoyote ya Kenya, nami nitasimamia kila kitu:

🔔* Manunuzi: Nitanunua bidhaa yako kwa niaba yako.
🔔* Usafiri: Nitaisafirisha kwa ndege hadi Tanzania.
🔔* Delivery: Nitakuletea mpaka mlangoni kwako.

Huduma ni za haraka, salama na uhakika.

Karibu tukuhudumie!

🔔Angalizo: Bidhaa ikiingia nchini iwapo itadaiwa kodi, Utawajibika kulipia; Pamoja na clearance charges zitakazojitokeza hapa nchini.
 
1718626697312.png

Code:
https://www.gsmarena.com/motorola_edge_50_ultra-12919.php
 
Back
Top Bottom