Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

1718857265863.png
 
Mkuu Mwl.RCT ni mtandao gani huu, ni wa kichina. Kama unaujua ningependa unambie jina
 
Attachments

  • IMG-20240626-WA0004.jpg
    IMG-20240626-WA0004.jpg
    47.6 KB · Views: 19
Mkuu Mwl.RCT ni mtandao gani huu, ni wa kichina. Kama unaujua ningependa unambie jina
Screenshot ni: Alibaba
Je unahitaji mzigo wa pcs ngapi? | Kumbuka alibaba ni maalum kwa mzigo mkubwa wa biashar.

Karibu
 
Screenshot ni: Alibaba
Je unahitaji mzigo wa pcs ngapi? | Kumbuka alibaba ni maalum kwa mzigo mkubwa wa biashar.

Karibu
Oooh nilitaka kujua ni mtandao gani huo, vipi mtandao upi unafaa kwa vitu reja reja Kama pc 1 tu?
 
Mkuu Mwl.RCT hadi kunifikia bongo jumla nitatakiwa kukupa shillings ngapi
 
Attachments

  • Screenshot_20240703-003859.png
    Screenshot_20240703-003859.png
    630.2 KB · Views: 16
Back
Top Bottom