Nunua bodaboda zisizotumia mafuta (unazichaji na umeme kama simu)

Nunua bodaboda zisizotumia mafuta (unazichaji na umeme kama simu)

Joined
Oct 2, 2014
Posts
6
Reaction score
2
BODA BODA ZINAZOCHAJIWA NA UMEME ZINAPATIKANA SASA.
  • NI IMARA
  • ZINA GUARANTEE YA MWAKA MMOJA
  • UKICHAJI FULL - ZINATEMBEA UMBALI KATI YA KM 80 NA KM 100
  • HAZITUMII MAFUTA KABISA
  • ZIPO ZA ABIRIA WATANO NA ZA MIZIGO
  • ZA ABIRIA ZINAUZWA SASA BEI YA PROMOTION TSHS 4.5M
  • ZA MIZIGO ZINABEBA TANI MOJA NA BEI YA PROMOTION NI TSHS 5M
  • HAZIHARIBU MAZINGIRA
  • HAMNA GHARAMA ZA UENDESHAJI
  • ANGALIA PICHA KATIKA ATTACHMENT
ANAYEHITAJI NA KWA AJILI YA MAELEZO ZAIDI:
PIGA SIMU 0788002001 AU 0654444881 au
Email: [email protected] na [email protected]
Skype: jai.nsemwa
 

Attachments

Asante Nsemwa,hili jina la watu wa Kusini Wangoni kama sikosei.
Maana lipo kwenye ukoo wetu,usijekuwa ndugu yangu.
Ngoja niulizie ili nije kukopa
 
Picha zimewekwa. Fungua attachment iliyoambatanishwa na meseji niliyotuma hapo juu
 
Hongera va kukaja! Tukwisa ijo biashara nono fijo kukaja pano jipolomoka mu sila ja kunumbe !
 
Nauza boxer mpya T986 CZC Imetumika miezi 2. Bei 1500000.
 
Back
Top Bottom