iyen jay nsemwa
Member
- Oct 2, 2014
- 6
- 2
utafiti nimefanyaje jamani mbona mnani naniiii hivi
mi sijabadili bana hata siku moja
Umesamehewa ila namba ya tigo pesa ni ilele mwisho 25 toa dhabihu tukusameheOoh basi sorry mkuu, sio wewe
Nauza boxer mpya T986 CZC Imetumika miezi 2. Bei 1500000.
iko wapi mkuu?
Samahan nilichelewa kukujibu ndg. Iko niko survey jirani na mliman city.
Pdidy amebadilisha ID?