kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Gari za kijeruman zinahitaji kuzijali tu katika service maana ni gari nzuri na ngumu, tatizo mafundi sio wengi sana wa kuweza kuzitengeneza zikiwa na shida but gari za Ulaya ni nzuri na ngumu sanaNaitamani sana Volkswagen Polo 2014 vipi matunzo yake
Kama unapenda trekta tufanyejeWatu wengi wamekua na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kua nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna mda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari, nunua gari ambayo unaweza kutumia asilimia 30% tu ya mapato yako ya mwezi kwa ajili ya uendeshaji wake kwa mwezi, kwa maana kuanzia mafuta na marekebisho yake madogo(minor services) kama oil, plug, nk, na usipende kununua gari uitakayo kwa sababu unaweza kutamani Premio ila uhalisia uwezo wako ni Passo
Gharama ya kuagiza honda fit ni angalau uwe na 12milions, bei ni pamoja na usajili wa TRA, Bandari na gharama zote za clearingHonda Fit ya sh milioni 7 nitapata mkuu?
HIyo ni gari ya kazi mkuu haina shida, kumiliki maana lazima itaongeza thamani, zaidiKama unapenda trekta tufanyeje
Ya Mwaka gani hiyo mkuu?Gharama ya kuagiza honda fit ni angalau uwe na 12milions, bei ni pamoja na usajili wa TRA, Bandari na gharama zote za clearing
Mkuu kwa mazda Atenza ya mwaka huo andaa min 36Milions vipuri bado havijawa vingi sana lakini mafundi wapo japokua sio wengi kiivyoVipi mkuu, Mazda Atenza una uzoefu nayo mkuu na bei hadi unaitia mkononi ya Angalau 2016. Vipi vipuri, wese na mafundi
Tofauti ni body ya gari tu ila vingine vilivyobaki vinafanana tutofauti ya premio vs allion,tafadhal
2003+Ya Mwaka gani hiyo mkuu?
Mm sio fundi mkuu, mm nauza magariTumekupata fundi
πππMkuu kwa mazda Atenza ya mwaka huo andaa min 36Milions vipuri bado havijawa vingi sana lakini mafundi wapo japokua sio wengi kiivyo