ya mufindi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 569
- 888
Mwenyr carina ya bei ndogo ti anistue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakomaa na majesta hivo hivo,ndio nimeamuaWatu wengi wamekua na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kua nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna mda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari, nunua gari ambayo unaweza kutumia asilimia 30% tu ya mapato yako ya mwezi kwa ajili ya uendeshaji wake kwa mwezi, kwa maana kuanzia mafuta na marekebisho yake madogo(minor services) kama oil, plug, nk, na usipende kununua gari uitakayo kwa sababu unaweza kutamani Premio ila uhalisia uwezo wako ni Passo
Chukua Mazda CX5Mazd cx5,Benz x4,mtsubish outlendar,Subaru Forester,x trail new model, nichukue ipi
Hivi common problem ni nini kwenye vitz?Ushauri wako mkuu ...me nina vitz old model nimetumia kwa miaka 3 sasa na nimeimudu bila shida..sasa nilijiwekea akiba ya pesa ..Nimejikuta natamani kumiliki Toyota Rumion ...Naomba kufahamu je kutoka kweny Vitz old model mpaka Rumion.. kimatumizi na kuhudumia gari ...Naweza kufit? Au nimesogea sana ..
gari gani?Ukweli mchungu, Kuna jamaa yangu amenunua gari ambayo kutoka hapa chanika mpaka posta kwenda na kuludi anatumia mafuta ya 40,000/= per day.
Sasa ivi anatafuta mteja auze mbaya zaidi amekosa mteja mwaka wa pili sasa.
Aina gani hio gari?Ukweli mchungu, Kuna jamaa yangu amenunua gari ambayo kutoka hapa chanika mpaka posta kwenda na kuludi anatumia mafuta ya 40,000/= per day.
Sasa ivi anatafuta mteja auze mbaya zaidi amekosa mteja mwaka wa pili sasa.
Linaweza kuwa mark II au Brevis kwa umbali wa chanika Posta hizo gari zinaweza kutumia mafuta ya 40k hasa kama kuna foleni kali.Aina gani hio gari?
Uko mule mule tu mkuu, hapo kilichobadilika ni body ya gari tu lakini engine ni zile zile tu na uwezo wa kuihudumia upo vyema tuUshauri wako mkuu ...me nina vitz old model nimetumia kwa miaka 3 sasa na nimeimudu bila shida..sasa nilijiwekea akiba ya pesa ..Nimejikuta natamani kumiliki Toyota Rumion ...Naomba kufahamu je kutoka kweny Vitz old model mpaka Rumion.. kimatumizi na kuhudumia gari ...Naweza kufit? Au nimesogea sana ..
Mpe number tuwasiliane 0719 263 074Linaweza kuwa mark II au Brevis kwa umbali wa chanika Posta hizo gari zinaweza kutumia mafuta ya 40k hasa kama kuna foleni kali.
Uko sahihiGari yoyote ukinunua brand new,haikusumbui,huwa tunanunua mikangafu Ndio maana tunapata tabu
muwasiliane kuhusu nini mkuu?Mpe number tuwasiliane 0719 263 074
Umesema anauza gari mkuu au alishapata mteja wa brevis na mark xmuwasiliane kuhusu nini mkuu?
Ahaa mkuu hakuna sehemu nimesema nauza/mtu anauza gari yake.Umesema anauza gari mkuu au alishapata mteja wa brevis na mark x
Hata kama ila sio hvyo itakua gari haina matunzo brevis ambayo inatunzwa kwenye folen unatembea km 7 mpaka 8 kwa litaLinaweza kuwa mark II au Brevis kwa umbali wa chanika Posta hizo gari zinaweza kutumia mafuta ya 40k hasa kama kuna foleni kali.