laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
bora ungeandika kuhusu maisha ya kingwendu tungenunua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia za kuiga au kuchukulia mfano mtu ambae tayari anaishi nchi ilio endelea ni mbaya sana na haita saidia! Ningekuwa naishi Marekani ningesoma na ningeweza kutoboa lakini kwa Tanzania kuchukulia Mfano Marekani ni ufinyu wa akili!
Mwandishi atajitetea lakini huwezi mringanisha maskini wa Marekani na wabongo.....Ugumu wa maisha Alio pitia Jay Z au Beyonce hadi kufanikiwa kutoka Nchi pia imechangia
Angekuwa Jay Z au Beyonce wamekulia Tanzania waka hustle wakatoka Tz na baadae wakaamua kuishi Marekani ningejifunza toka Kwao!
Hapa ndipo waandishi wengi huwa wanashindwa kupambanua Mambo Kumringanisha mtu ambae Nchi yake ipo kwenye G8 lakini Tz hata haijaendelea,nchi amabayo ina wasomi wengi kuliko nchi yetu,nchi ambayo ina uchumi mkubwa kila kitu wametuzidi hata science na technology yao imekua kuliko sisi afu useme utatoboa huo ni uwongo Mkubwa
Kamwe huezi ukatumia njia alizo fanya Jay Z kutoboa ukajifunzia Bongo!
Jamaaa ka google!!!! Kadownload documentary Katafsiri kaongeza rojo rojo kaprint anauza anajipatia mshiko!!! beyonce ajui wala jay z ajui!! Kweli tanza nia shba labibi nami ngoja nije nitoe cha kanye west na kim k!!!
Ulikuwa huna haja ya kukitangaza kama ndo hivyoHapo ndipo tunapokosea wabongo. Unapoangalia movie za Hollywood, unaposoma vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na waandishi wa Marekani kwa kuzungumzia maisha yao, unapoangalia tamthilia za Kikorea nk huwa unajiuliza hivi pia? Kwanini watanzania mnapenda kujichukulia wa hapahapa? Think globally, act locally. By the way Tanzania ina wananchi zaidi ya milioni 50 na wewe ni mmoja tu kati ya hao, so sio issue kabisa wewe kisipokuvutia coz people are actually buying the book!!
Bora ukae kimya hayo majibu yako unamuharibia Fred ,najua Fred ana account hapa bora aje kufanya promotion mwenyewe naamini hawezi kutoa haya majibu unayotoa hapaAndika chako
Yaa....haki miliki ipo?Ni vizuri kujifunza kutoka kwa wengine, ila mwandishi sijui kama aliwahusisha wahusika
Jama asiige, kila mtu na bahati yake.Jamaaa ka google!!!! Kadownload documentary Katafsiri kaongeza rojo rojo kaprint anauza anajipatia mshiko!!! beyonce ajui wala jay z ajui!! Kweli tanza nia shba labibi nami ngoja nije nitoe cha kanye west na kim k!!!