Nunua Kitabu cha Kiswahili cha maisha ya Beyonce na Jay Z, kinapatikana kwa Tshs 10,000 tu



Hapo ndipo tunapokosea wabongo. Unapoangalia movie za Hollywood, unaposoma vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na waandishi wa Marekani kwa kuzungumzia maisha yao, unapoangalia tamthilia za Kikorea nk huwa unajiuliza hivi pia? Kwanini watanzania mnapenda kujichukulia wa hapahapa? Think globally, act locally. By the way Tanzania ina wananchi zaidi ya milioni 50 na wewe ni mmoja tu kati ya hao, so sio issue kabisa wewe kisipokuvutia coz people are actually buying the book!!
 
Jamaaa ka google!!!! Kadownload documentary Katafsiri kaongeza rojo rojo kaprint anauza anajipatia mshiko!!! beyonce ajui wala jay z ajui!! Kweli tanza nia shba labibi nami ngoja nije nitoe cha kanye west na kim k!!!

Kama rahisi sana ehh? Andika chako
 
Wewe Kabota ndio msemaji wa mwandishi ??

Mbona muhusika hatumuonii hukuu ??
Usisite kutujulisha kama wewe ni shareholder kama hutojali😉
 
Kabota ni mke wa mwandishi wa kitabu (babyskytz) wacha atetee shibe yake.Ila kamwe hatutosita kusema kuwa sky kabugi
 
Ulikuwa huna haja ya kukitangaza kama ndo hivyo
 
Andika chako
Bora ukae kimya hayo majibu yako unamuharibia Fred ,najua Fred ana account hapa bora aje kufanya promotion mwenyewe naamini hawezi kutoa haya majibu unayotoa hapa
 
Ni vizuri kujifunza kutoka kwa wengine, ila mwandishi sijui kama aliwahusisha wahusika
Yaa....haki miliki ipo?

Nataka nikinunua nimkute jamaa kama yule wa kwenye muvi ya JB, anayepiga makofi na kusema "haki zote zimehifadhiwa"
 
Jamaaa ka google!!!! Kadownload documentary Katafsiri kaongeza rojo rojo kaprint anauza anajipatia mshiko!!! beyonce ajui wala jay z ajui!! Kweli tanza nia shba labibi nami ngoja nije nitoe cha kanye west na kim k!!!
Jama asiige, kila mtu na bahati yake.

Hata mimi huwa nikimuangalia yule Mzee wa Upako anavyopiga stori pale mbele alafu watu wanamiminika kumpa hela huwa natamani siku moja niwe kama yeye.

Lakini huwa naushinda moyo wangu na kuishia tu kuinua mikono juu na kusema kimoyomoyo "ee Mungu wewe ndiye unayegawa rizki"
 
Angewahoji ningejua kuna kipya chakujua ila hawajawafanyia interview yoyote basi itakua amekusanya kutoka article mbalimbali" google copy and paste even the cover sio exclusive photos ni picha ambazo katoa kwenye show yao ya JayZ & Beyonce
lakini namkubali sana kwenye other issues na nimsomaji mzr sana wa blog ya Bongo5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…