Nunua kule, uza hapa.

Nunua kule, uza hapa.

Avaya-1234

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Habari Ndugu.

Aramex Tanzania, inafuraha na heshima kuanzisha huduma mpya iitwayo Shop na Ship (SNS).

Ukiwa kama mwanachama wa SNS, utapata Sanduku (Mailbox) Marekani, Uingereza na China, hii ni kwa kulipia Dola 45 tu za kuwa mwanachama.

Aramex itausafirisha mzigo wako mpaka mlango kwako kwa Dola 20 tu kwa Nusu Kilo ya kwanza, na Dola 15 tu kwa kila nusu kilo ya ziada.

Huu ni uvumbuzi ulioundwa ili kufanya manunuzi ya mtandao kuwa rahisi na salama. Na inaruhusu mteja wetu kufurahia faida zote za kununua vitu mtandaoni (online) na kuwa na anuani ya kupelekewa mizigo, Marekani, Uingereza na China bila kuishi huko.

Tunaamina huduma hii itatoa fursa nyingi za kibiashara kutokea nchi hizo.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nami kwa barua pepe; Happiness.mrema@aramex.com:
 
Nusu kilo kwa $20? Hata Universal Percel Services (UPS), Federal Express (FEDEX), Airbone, na DHL hawakoo Ghali namna hiyo.
 
Mara nyingi huwa nachukua mizigo yangu from China ila Door to Door shipper wangu akanishauri kwamba mpo very expensive na DHL ni cheaper.., by the way kama nikitumia air freight na sio door to door lazima port of destination iwe Dar au naweza kuchukulia mzigo mkoani i.e. Mwanza au Arusha ?
 
Bwana sun wu mimi pia niliwai kuagizwa mzigo nikautuma kwa ndege toka dubai nilichoshangaa nilitaka upwlekwe arusha lakini watu wa airline wakasema wao wapo responsible kuutuma mpaka dar ambapo clearing process inapashwa kufanyika na si arusha...ilikuwa kama miezi 5 iliyopita sijuhi kwa sasa
 
Nusu kilo kwa $20? Hata Universal Percel Services (UPS), Federal Express (FEDEX), Airbone, na DHL hawakoo Ghali namna hiyo.

nadhani hujui kulinganisha unafuu. kama wewe ni expert wa online shopping, then u must have noticed kuwa kuna nchi/online shops nyingne haziship purchases/mizigo outside their continent.
ila kama hujajua, let me just inform u that zipo na hata kama ukinunua then their is no way utaupata huo mzigo mpaka uwe na physical address katika boundaries zao, which we do provide. this makes a difference kati ya a courrier shipment ambayo kampuni mlizotaja zinafanya pia, na an online shipment which we provide.

www.shopandship.com plus other thousands shopping sites of ur choice.
 
Bwana sun wu mimi pia niliwai kuagizwa mzigo nikautuma kwa ndege toka dubai nilichoshangaa nilitaka upwlekwe arusha lakini watu wa airline wakasema wao wapo responsible kuutuma mpaka dar ambapo clearing process inapashwa kufanyika na si arusha...ilikuwa kama miezi 5 iliyopita sijuhi kwa sasa

pole for the hassle, ila next time uwe makini na ujue umuhim wa courrier companies.
 
Mbona mambo ya Nusu kilo? ukitaka kuagiza mtambo inakuwa vipi?

@ chasha, hii ni kwa ajil ya kuagiza vi2 vidogo vidogo, ambavyo vinakuja kama express, mtambo itabidi tukuagizie as freight.
 
mkuu Avaya-1234 je mnafanya cargo freight ..... ninahitaji kufanya shipment from china to dar every month about 2.8 cbm za craft paper bags ... je naweza kujiunga ... and if possible what is the freight charge and the lead delivery time?
 
Last edited by a moderator:
Nusu kilo kwa $20? Hata Universal Percel Services (UPS), Federal Express (FEDEX), Airbone, na DHL hawakoo Ghali namna hiyo.

Acha kudanga watu kama barua unatuma kwa bei ya zaidi ya Tsh.75000/= itakuwaje kwa nusu kilo?
 
Bwana sun wu mimi pia niliwai kuagizwa mzigo nikautuma kwa ndege toka dubai nilichoshangaa nilitaka upwlekwe arusha lakini watu wa airline wakasema wao wapo responsible kuutuma mpaka dar ambapo clearing process inapashwa kufanyika na si arusha...ilikuwa kama miezi 5 iliyopita sijuhi kwa sasa
freight nyingi sana mzigo ukicha kwa air cargo port of destination huwa ni dar the only way I know to go around this labda utumie Kenya Airways ili mzigo upite via Nairobi to Mwanza au Arusha unless otherwise freight nyingi destination na Dar
 
pole for the hassle, ila next time uwe makini na ujue umuhim wa courrier companies.

Mkuu nadhani jamaa haongelei Door to Door anaongelea Air Cargo je nyie mnapeleka mzigo mpaka mikoani lets say Mwanza Airport au Arusha Airport ?, by the way kuna siku nilitaka kuwatumia kwa door to door from Zhuhai China kuja Bongo.., lakini supplier wangu akaniambia DHL kwa pale ni way cheaper kuliko nyie nilikuwa nataka kutuma kama 30kgs and DHL was cheapest at that time vipi je mshapunguza na kuwa competitive
 
mh kwahiyo ndugu wa arusha itatufikia au mpaka tufuate dar? ila naona kama mpo expensive hivi
 
mkuu Avaya-1234 je mnafanya cargo freight ..... ninahitaji kufanya shipment from china to dar every month about 2.8 cbm za craft paper bags ... je naweza kujiunga ... and if possible what is the freight charge and the lead delivery time?

ndio we do it bluetooth; kindly drop ur details at the same email address, we will have a pleasure to handle it for u.
 
Mkuu nadhani jamaa haongelei Door to Door anaongelea Air Cargo je nyie mnapeleka mzigo mpaka mikoani lets say Mwanza Airport au Arusha Airport ?, by the way kuna siku nilitaka kuwatumia kwa door to door from Zhuhai China kuja Bongo.., lakini supplier wangu akaniambia DHL kwa pale ni way cheaper kuliko nyie nilikuwa nataka kutuma kama 30kgs and DHL was cheapest at that time vipi je mshapunguza na kuwa competitive

as per cost, just try us please and see the difference
 
as per cost, just try us please and see the difference

I tried already and am not talking about drop-shipping, address or consolidation services which DHL does not do it okay to make my question short lets say I want door to door services from zhuhai or any destination which you want my shipper to drop to Arusha TZ.., how much will shipment cost me for about 30kgs
 
Back
Top Bottom