Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo ya mayai 36 itakufaa sana. Bei yake ni sh 200,000 tuTunahitaji za magari 30 mpaka 50.
Hivi nilinunua ya mayai say 60 si ninaweza kuweka huko 40 au 50?
hapa mkuu nimeelewa kilicho baki ni wapi naweza kupata mayai ya kuku aina ya koloila na beizake zipoje kwa tray pia nitomba mawasiliano ;Zote zipo dukani kwetu. Unahitaji ya mayai mangapi?
Zina ufanisi mkubwa, zinatumia umeme kidogo sana, full automatic na zina mfumo rafiki sana kutumia.
Zipo za mayai 60, 120, 180, 240, na 300.
Ya mayai 60 ni 420,000 ya mayai 120 ni sh 590,000 ya mayai 180 ni sh 690,000 ya mayai 240 Ni sh 840,000 na ya mayai 300 Ni sh 980,000
Tupo maeneo ya Ubungo external tunatazamana na shule ya Yusufu makamba barabara ya makuburi.
Tupigie/Whatsapp 0783095169 0755571604 au 0718106434View attachment 1300455View attachment 1300457View attachment 1300459
Sent using Jamii Forums mobile app
good
Ndio haina neno. Sio lazima uweke fullHivi nilinunua ya mayai say 60 si ninaweza kuweka huko 40 au 50?
Hebu cheki na huyu jamaa anauza mayai ya kutotoleshahapa mkuu nimeelewa kilicho baki ni wapi naweza kupata mayai ya kuku aina ya koloila na beizake zipoje kwa tray pia nitomba mawasiliano ;
Shukrani. Ile sasa na umeme wetu wa usioeleweka mngeweka option ya kerosene tank kama umeme ukizima.
Vipi mnawezatengeneza automatically ya mayai 2000 ni bei ganiTunauza mashine mpya za kutotolesha vifaranga.
Mashine zetu ni mpya na zenye ubora wa hali ya juu. Kwa sasa tunauza mashine za kutotolesha mayai 1056 na mayai 528. Inatumia umeme wa 220V na power consumption ni 200W (ya Mayai 1056) na 140W (ya mayai 528)
Sifa za mashine zetu:.
1. Zina mashine ya digitali(micro-computer) kwa ajili ya kudhibiti kiasi cha joto na unyevu.
2. Zina sehemu ya kuweka mayai na kutotoleshea vifaranga kwa pamoja.
3. Zina feni 2 ambazo husamabaza kiasi sawa cha joto na unyevu kwenye mayai
4. Zina mfumo wa kuzungusha mayai ili kupata kiasi sawa cha unyevu na joto.
5. Zinatumia kutotolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na ya ndege wengineo.
6. Zimetengenezwa kwa materials ambayo huweza kuhifadhi joto kwa hadi masaa 5 mara baada ya kukatika kwa umeme.
7. Zina ufanisi wa kutotolesha mayai kwa hadi 95% ya mayai kulingana na ubora wa mayai.
Vifaa vya Ziada
·-------- Pc 1 ya hita ya joto(Temperature heater)
·-------- Pc 1 ya tochi ya Mayai(Egg candel)
·-------- Pc 1 ya hita ya unyevu(Humidity heater)
·-------- Pc 2 za switch( limited switch)
Tunatoa waranti ya mwaka 1 na ushauri wa jinsi ya kutumia mashine hizi ili kuweza kupata ufanisi mkubwa.
Bei zetu ni poa sana. Mashine ya mayai 1056 tunauza 3,300,000/= na ya mayai 528 tunauza 2,300,000/=. Wasiliana nasi kwa namba 0783 095 169 na 0755 571604(Whatsapp) tupo Dar. Tunatoa usafiri bure kwa maeneo ya Dar na kama upo mkoani utalipia kiasi cha gharama za usafiri.
Karibuni sana