INAUZWA Nunua mashine za kutotolesha vifaranga zenye ubora kwa bei poa

hapa mkuu nimeelewa kilicho baki ni wapi naweza kupata mayai ya kuku aina ya koloila na beizake zipoje kwa tray pia nitomba mawasiliano ;
 
Vipi mnawezatengeneza automatically ya mayai 2000 ni bei gani
 
Moja ya wazo linaloweza kukuingizia kipato/fedha ni kufanya ufugaji wa kuku wenye tija.

Unaanza na wazo kisha kupata taarifa sahihi na kamili na hatimaye utekelezaji.
Mfano ikiwa umekwisha kujua wapi unapata incubator bora na ya uhakika, mayai bora ya kutotolesha, umeme unao, na unajua jinsi ya kuingia kwenye soko la mayai, vifaranga, kuku.
Imebaki wewe tu kuchukua hatua kwa kuanza mradi wako wa ufugaji na kujiweka kwenye nafasi ya kuwa na mafanikio uliyokusudia kuwa nayo kwa muda mrefu.

Karibu kwenye ofisi zetu utapata mashine za kutotolesha mayai (incubator) bora na za uhakika za kuanzia mayai 36, 64, 128, 210, 320 n.k
Bei zetu ni kama zifuatavyo;
Incubator ya mayai 36 ni Tsh.200,000.
Incubator ya mayai 64 ni Tsh 390,000.
Incubator ya mayai 128 ni Tsh 570,000.
Incubator ya mayai 210 ni Tsh 880,000 na
Incubator ya mayai 320 ni sh 950,000.
Wasiliana nasi kwa namba 0783095169 au 0755571604 au 0718106434
Unaweza pia kutembelea ofisi zetu zilizopo maeneo ya Ubungo external tunatazama na na shule ya msingi Makuburi Jeshini barabara ya makuburi.
Mkoani pia tunasafirisha kwa uaminifu mkubwa!
 
Ukiwa na sola Incubator ya mayai 120 kila mwezi hutakosa vifaranga 100-115 (kulingana na ubora wa mayai).
Na ukiwa na mwendelezo mzuri kila mwezi baada ya miezi 4-5 utauza kuku wakubwa 90-100.

Incubator ya mayai 120 ni sh 570,000 tu. Ni full Automatic na inageuza mayai yenyewe. Inajiswitch kwenye sola automatic pale umeme unapokatika.

Tupigie/whataspp 0783095169 au 0755571604 au 0718106434.

Tupo Ubungo external tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini barabara ya Makuburi karibu na Corner Lounge baa.

Start small and grow big!
Fuga kimkakati fuga kwa malengo ufugaji utakulipa.
 
Kwa nini uwe na hofu ya kubadilishiwa vifaranga unapoenda kutotolesha mayai?
Kwa nini uwaache kuku waharibu mayai wanapokuwa hawataki kutamia?

Jipatie incubator za kisasa automatic, zinazogeuza mayai na kupokea umeme wa sola au wa tanesco na ofa ya drinker na feeder.

Zipo za mayai 64, 128 na 192 kwa sh 370,000 ya mayai 64, sh 570,000 ya mayai 128 na sh 680,000 ya mayai 192.

Tupo maeneo ya Ubungo External barabara ya makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini baada tu ya sheli ya SimbaOil au jirani na Corner Lounge baa.

Tupigie/whatsapp 0783095169 au 0755571604. View attachment 1594701View attachment 1594702View attachment 1594704View attachment 1594703
 
Mbona ghali hivyoo?, hiyo 500K ndio nafuu? [emoji23][emoji23][emoji23] anyway mashine zipo za mayai 700 kwa 1.2Mil full computerized

SHTUKA MKUU.
 
Incubator ya kisasa kabisa ya mayai 256.
[emoji214]Totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga.
[emoji212] Inatumia umeme au sola/betri ya 12v
[emoji212] Ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 96%
[emoji213] Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe.
[emoji214]INAKUPA URAHISI WA KUTOA NA KUWEKA MAYAI KWENYE TREI BILA YA KUZIMA INCUBATOR.
[emoji213]Utapata ofa ya vifaa vya kukuzia vifaranga bure.
Bei tsh 850,000 tu
 
Kwa nini uwe na hofu ya kubadilishiwa vifaranga unapoenda kutotolesha mayai?

Incubator za mayai 36. Mpya kabisa. Zenye sifa hizi:
✓Automatic Temperature control
✓Automatic Eggs turn
✓Automatic Humidity control
✓Automatic Alarm
✓AC & DC/Solar powered
✓ Predefined settings temp& humidity
✓Ofa ya bure ya drinker na feeder

Tupo maeneo ya Ubungo External barabara ya makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini, jirani na Corner Lounge baa.

Tupigie/whatsapp 0783095169

Bei ya incubator ya mayai 36 ni sh 200,000 tu.
 
New Modern improved Incubator 560eggs

✓Automatic Temperature control
✓Automatic Eggs turn
✓Automatic Humidity control
✓Automatic Alarm
✓Automatic system for adding water
✓AC 220V + Free 1200W inverter for DC
✓ Predefined settings available
✓Available sizes 560eggs capacity
✓Equal numbers of Setting & Hatching trays
✓Hardbody can maintain temperature up to 6hrs after power cut off

Tupo maeneo ya Ubungo External barabara ya makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini, jirani na Corner Lounge baa.

Tupigie/whatsapp 0783095169
 
Incubator mpya za kisasa, imara za muundo wa pekee na tayari zipo ofisini kwetu.

Ni ngumu na zenye mfumo wa kisasa. Hakika hutajutia thamani ya pesa yako.
Hii sio ya kuikosa hata kidogo. Mwambie na rafiki yako.

Tupigie/whatsapp 0783095169 au 0755571604.

Ofisi ipo jirani na Corner Lounge baa na opposite na shule ya msingi Makuburi Jeshini maeneo ya Ubungo External.

Karibuni sana!View attachment 1812139View attachment 1812142View attachment 1812140View attachment 1812141View attachment 1812143View attachment 1812144
 
Incubator ya mayai 36 ni incubator nzuri na sahihi ya kuanzia kujifunzia utotoleshaji kama ndio unataka kuanza ufugaji wa ndege.

Ni rahisi kuitumia, tayari imeshasetiwa, ni automatiki na inageuza mayai yenyewe pia inatumia umeme kidogo sana (35watts)

Utaipata kwa ofa ya sh 200,000 tuu.
Tupigie/whatsapp 0783095169 au 0755571604
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…