INAUZWA Nunua mashine za kutotolesha vifaranga zenye ubora kwa bei poa

Mzigo mpya uwewasili. Chagua incubator zinazodumu muda mrefu, zenye ufanisi mkubwa na waranti
 
Weka mayai yaliyorutubishwa baada ya muda chukua vifaranga. Ni rahisi kabisa ukiwa na incubator za sola na umeme
 
Ipo ya mayai 36 sh 200,000 ya mayai 64 sh 380,000 ya mayai 128 sh 580,000 ya mayai 192 ni sh 680,000 ya mayai 256 ni sh 850,000 na ya mayai 320 ni sh 980,000
ni auto?
 
Hakuna kitu kinakupa "peace of mind" kama kuwa na incubator bora yenye ufanisi mzuri na inakupa matokeo yale unayotaka.

Hatukuuzii ilimradi incubator bali incubator bora kabisa.

Unahitaji incubator ya mayai mangapi?
Tupigie/whatsapp 0783095169 au 0755571604
 
Weka mayai kwa awamu tofauti. Totolesha kwa awamu tofauti kwa urahisi kabisa.

Unaweza kuchanganya pia mayai ya ndege tofauti na wakaanguliwa vizuri kabisa.

Tumia chupa za maji kuongeza maji kwenye incubator kwa urahisi kabisa kama hapo kwenye picha.

Incubator hii ni ya mayai 64. Bei yake ni sh 360,000 tu

Tupigie 0755571604 au 0783095169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…