Nyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20Γ30) bei ni 50,000,000tsh (shilingi milioni 50) mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0652746359.
Sio kweli boss hiyo nyumba haipo kwenye hifadhi ya barabara na uzuri ni kwamba eneo limepiwa na lina hati unafwatilia kila kitu ukiridhia ndio tunafanya biashara.