Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Umemuona? [emoji23] [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38]Chukua 5.5
Mbona hilo ghofu halifanani na mkuu wa mkoa wala bei uliyoitaja?
Yep! Kasema nyumba iko mtaa mmoja na mkuu wa mkoa. Ndio namuuliza mbona hiyo nyumba haifanani na huo mtaa?Umeelewa alichoandika au?
Nyumba imechoka sanaNyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20×30) bei ni 50,000,000tsh (shilingi milioni 50) mazungumzo yapo kidogo kwa mawasiliano 0652746359.
View attachment 832570View attachment 832571View attachment 832572View attachment 832573View attachment 832574View attachment 832575View attachment 832576View attachment 832577View attachment 832578View attachment 832579
haaa....nilijua lazima mtu atoe hii commentNa huyo dada anayefagia ni inclusive?
Yep! Kasema nyumba iko mtaa mmoja na mkuu wa mkoa. Ndio namuuliza mbona hiyo nyumba haifanani na huo mtaa?
Nadhani aliposikia bei ndio anasepa.Hiyo picha ya kwanza kuna mzee anatambuka barabara kama Emoji hii [emoji125]
Inawezekana wewe ndiye hujaelewa.Msome tena.. ila pia nyumba hiyo ya kaleeeee
Inawezekana wewe ndiye hujaelewa.