Nunua pipi mwaka 2023

Nunua pipi mwaka 2023

FlyingDutchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
399
Reaction score
794
Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi
Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha

You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things

Mwandishi mmoja maarufu amewai andika haya
When I was growing up, my father said something to me I will never forget, "Son, when you were born, you
cried while the world rejoiced.

Live your life in such a way that when you die the world cries while you
rejoice." We live in an age when we have forgotten what life is all about.

We can easily put a person on the
Moon, but we have trouble walking across the street to meet a new neighbor.

We can fire a missile across
the world with pinpoint accuracy, but we have trouble keeping a date with our children to go to the library.

We have e-mail, fax machines and digital phones so that we can stay connected and yet we live in a time
where human beings have never been less connected. We have lost touch with our humanity.

We have lost
touch with our purpose. We have lost sight of the things that matter the most.
 
Nimkute kijana ambae simjui zaidi zaidi simwelewi anampa pipi mwanangu walaah tutaongea lugha moja iwe Kibena cha kwetu au kikwao.

Mkuu acha kabisa kununua pipi hizo kugawia watoto, wewe unaweza kuwa na nia njema ila jamii haitakuelewa haswa kwa vitendo vinavyoendelea dhidi ya watoto. Angalia namna nyingine ya kupokea baraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya mbona mnakuwa kama mambumbumbu kumshambulia mtoa mada

Ametumia pipi kama mfano wa kitu kidogo unachoweza kukifanya kumpa binadamu mwenzako furaha bila kuhtaj malipo yeyote

Kama unajua jirani yako huwa analala njaa msaidie hela ya msosi bila kumsimanga

Kama unajua mtoto wa jilan yako hana begi wafate wazazi wake ukamnunulie begi

Jilani yako anapika vitumbua wewe unaingiza 10M Kwa mwezi, muoongezee mtaji

Nenda hospital katembelee wagonjwa


Amemaanisha tu tuwe nice to each other nashangaa mnamshambulia suala pipi

Tumekuwa wabinafsi sisi sote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kila nikijaribu kufikiri kulifanya nasikia moyo mzito, kuna mtu alikuwa anafanya hivi miaka ya nyuma alikuwa anakutana na maneno mabaya sana. Siku za leo kugawa pipi bila utaratibu utajitafutia matatizo labda uwe mwalimu wao unayewafundisha nje na hapo unajitafutia matatizo.
 
Nimkute kijana ambae simjui zaidi zaidi simwelewi anampa pipi mwanangu walaah tutaongea lugha moja iwe Kibena cha kwetu au kikwao.

Mkuu acha kabisa kununua pipi hizo kugawia watoto, wewe unaweza kuwa na nia njema ila jamii haitakuelewa haswa kwa vitendo vinavyoendelea dhidi ya watoto. Angalia namna nyingine ya kupokea baraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia imebadilika, anunue mahitaj apeleke sehem husika.
 
Back
Top Bottom