Nunua pipi mwaka 2023

Dadavua ankoo, kuna kabinti kameanza kuniita ankòo sikaelewi.
Kimbia mbio Mkuu, ngoja siku kawe na msala pale dawati la jinsia polisi alafu kaseme hata hivi tu ''Ankoo jungle anapafahamu nyumbani'' Mkuu hako lazima wakakapime njia zote kama zipo salama kwa kukutaha tu 'Ankoo' na lazima utatafutwa tu.

Neno Ankoo limekuwa kama mbadala wa neno Fataki ila hili limeenda mbele zaidi Ankoo ni Fataki mshenzi, ama anakula mama wa mtoto au mtoto mwenyewe
 
Aliyeelewa Kidhungu Anieleweshe
Nimekaa apa
 
Hii comment tuiwekee Lamination halafu uzi ufungwe
 
This explains everything with pin point accuracy
 
Fanya kitu kimoja kama unataka watoto wa ffurahi mtafute mkeo au mwanamke yoyote, tenga kimeza flani weka vikorokoro vya watoto kama juisi au biskuti, au chokolate nunua jumla jaza mezani then watakuja wakija wapewe wataita na wenzao , mkiwapa muwakumbushe ,mambo mazuri, soma kwa bidiii, muwasikilze wazazi wenu, pendaneni
 
Wakioza meno sintoshitakiwa?
 
Unajidanganya
 
Niliwahi kununua pipi mkuu, ila kwa hela ya mshua. Niligawa ofa mtaa mzima nikajiona kibopa tena hapo nna miaka sita.

Nilikusanya watoto wa kipemba nikaenda kuwamiminia ofa ya peremende, mshua anarudi anaambiwa ah dogo leo alifunga mtaa wakampa story mwamba nikaitwa naulizwa nimetoa wapi hela namwambia kwenye mfuko wake wa shati. Mwanzo nilikua nakataa nasema nasingiziwa.

Wale watoto waliitwa kila mtu anataja hadi duka nlilowapeleka. Nilichapwa kinoma sitokaa nisahau. Tangu siku hiyo charity niliachašŸ˜… wema uliniponza ela yenyewe buku jero tu
 
Dah umenikumbusha mkasa ambao niliijiwa na lundo la wamama wa uswahilini kisa hizo pipi za kugawa bure.....nashukuru confidence yangu iliniokoa.....SIRUDII KUMPA MTOTO WA MTU KITU .....Nikitakiwa kufanya hivyo nitakwenda kwa watoto yatima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…