INAUZWA Nunua viatu hapa kwa bei ya Kariakoo

INAUZWA Nunua viatu hapa kwa bei ya Kariakoo

Dickie tz

Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
30
Reaction score
107
Nunua viatu hapa Kwa Bei ya Kariakoo, mkoani tunatuma lakini mteja unalipia maana bei zetu ni za chini sana. Tucheki Whatsap kwa 0762027102

Vipo vingi anza na hivi

Bei: 40,000/=
Size: 40, 41, 42, 43, 44
IMG_20200819_172315_521.JPG
IMG_20200819_172301_731.JPG
IMG_20200819_172244_006.JPG
IMG_20200819_172225_013.JPG
IMG_20200819_172205_067.JPG
 
Haya mambo bhana... unaweza kukuta siku ya siku Mungu anatangaza "Wale woooote ambao waliwahi kuvaa viatu kama alivyokuwa anauza jamaa hapo juu, wapite mbele waingie peponi moja kwa moja"!!

Halafu ndo unakuta watu tunakosa fursa ya bata la peponi hivi hivi! Btw, hivi dizaini hiyo ni kwa ajili ya ofisini enh?! Kama huna kazi kama akina sie unaweza kutinga hata wakati upo kitaa, au?! Sema mitoto ya huku Ushenzini haikawi kuanza kukuangalia with suspicion kudhani ama ushakuwa mlokole au ushaanza kuwa kamnoko fulani hivi!!
 
Wale wa Boot za Nguvu hizo hapo bei ni ya Kariakoo,

Bei 115,000/=
Mob: 0762027102
IMG-20200819-WA0042.jpg
IMG-20200819-WA0041.jpg
IMG-20200819-WA0039.jpg
IMG-20200819-WA0037.jpg
IMG-20200819-WA0038.jpg
 
Mzigo huo Mpyaaa....

Size 40 41 42 43 44 45

Bei 58,000/=
Mob: 0762027102
Karibuni Sanaa [emoji1666]
IMG-20200820-WA0007.jpg
IMG-20200820-WA0006.jpg
IMG-20200820-WA0008.jpg
 
Bei zako kubwa sanaaaa boss, kkoo hawauzi hivyo

Umetumwa nini aisee...?.

Jamaa yuko chini kwa bei kuna mtu anauza viatu humu cha 60,000 lakini huyu jamaa anauza kwa 48,000 usifanye tuwaharibie watu biashara zao kiongozi...!
 
Back
Top Bottom