INAUZWA Nunua viatu hapa kwa bei ya Kariakoo

INAUZWA Nunua viatu hapa kwa bei ya Kariakoo

Umetumwa nini aisee...?.

Jamaa yuko chini kwa bei kuna mtu anauza viatu humu cha 60,000 lakini huyu jamaa anauza kwa 48,000 usifanye tuwaharibie watu biashara zao kiongozi...!
Usitegemee ulete kitu humu kudanganya watu Kisha uachwe
Hujui hili ni jukwaaa huru.

Vutu vyake bei kubwa,tembelea huko kkoo anapsema usiende uone
 
38,000/=
IMG-20200822-WA0010.jpg
IMG-20200822-WA0009.jpg
IMG-20200822-WA0008.jpg
IMG-20200822-WA0011.jpg
 
Haya mambo bhana... unaweza kukuta siku ya siku Mungu anatangaza "Wale woooote ambao waliwahi kuvaa viatu kama alivyokuwa anauza jamaa hapo juu, wapite mbele waingie peponi moja kwa moja"!!

Halafu ndo unakuta watu tunakosa fursa ya bata la peponi hivi hivi! Btw, hivi dizaini hiyo ni kwa ajili ya ofisini enh?! Kama huna kazi kama akina sie unaweza kutinga hata wakati upo kitaa, au?! Sema mitoto ya huku Ushenzini haikawi kuanza kukuangalia with suspicion kudhani ama ushakuwa mlokole au ushaanza kuwa kamnoko fulani hivi!!
[emoji1][emoji1][emoji1] Yani chief umegusa mulemule..!
 
Back
Top Bottom