Haya mambo bhana... unaweza kukuta siku ya siku Mungu anatangaza "Wale woooote ambao waliwahi kuvaa viatu kama alivyokuwa anauza jamaa hapo juu, wapite mbele waingie peponi moja kwa moja"!!
Halafu ndo unakuta watu tunakosa fursa ya bata la peponi hivi hivi! Btw, hivi dizaini hiyo ni kwa ajili ya ofisini enh?! Kama huna kazi kama akina sie unaweza kutinga hata wakati upo kitaa, au?! Sema mitoto ya huku Ushenzini haikawi kuanza kukuangalia with suspicion kudhani ama ushakuwa mlokole au ushaanza kuwa kamnoko fulani hivi!!