mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Tunauza mifuko ya sembe kwa gharama nafuu sana na ikiwa katika ubora wa hali ya juu.
Lengo letu ni kufanya kazi na wazalishaji wa sembe wa chini na wa kati ili kuongeza thamani za bidhaa yao.
Ukinunua mifuko kutoka kwetu utapata
1. Virutubishi bure kwa ajili ya kuchanganya kwenye sembe au dona
2. Mashini ya dosifier ambayo kazi yake ni kuchanganya virutubishi hivyo kwenye sembe
Mifuko yetu tunahakikisha imekithi viwango vya TFDA na wakala wa vipimo.
Nani anaweza kuwa mteja wetu
Mjasiriamali yeyote anaweza kuwa mteja wetu hata kama ndipo anaanza uzalishaji wa sembe na dona. Tutamtengenezea design ya mfuko sisi wenyewe na kumtumia akiridhika ndipo tutaiprint mifuko, kama ana tayari logo na desing yake basi tutaiboresha kuendana na maelekezo na template ya mifuko yetu.
Kama tayari una mifuko yako ya awali tutairedesing iendane na template yetu ili kuiongezea muonekano mzuri zaidi.
Kwa wale wazalishaji wakubwa unaweza tumia template yako mwenyewe ila itabidi uendane na rangi zetu maana mifuko yote tunayozalisha inatumia rangi zinazoonekana kwenye nembo hii hapa chini.
(Nembo inayoonyesha kuwa bidhaa imeongezwa virutubishi)
Hatuweki rangi kwenye mfuko nje ya rangi hizi tatu zilizo kwenye hii nembo.
Ukitaka kununua mifuko kwetu ni lazima tuingie mkataba nawe wa muda mrefu kwa maana tunaprint mifuko mingi halafu unakuwa wachukua kiasi unachotaka kila mwezi na kulipia kiasi hicho unachochukua kwa wakati huo.
Bei ya mifuko
25 kg ni 560
10 kg ni 490
5kg ni 440
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi sms, au piga 0621112755 au fika ofisini kwetu SANKU Fortification, Mahando street, jengo la Regus Dar es Salaam, au Sanku Morogoro, au Sanku Iringa mjini