Nurdin Bakari: "siku hizi hakuna mpira Makapu anacheza namba 4 na anaonekana hodari enzi zetu hachezi

Nurdin Bakari: "siku hizi hakuna mpira Makapu anacheza namba 4 na anaonekana hodari enzi zetu hachezi

Nurdin Bakari, kijeba wa Serengeti ambaye alisababisha Serengeti itolewe na kufungiwa kushiriki mashindano ya U17 baada ya kupimwa na kuonekana ni kijeba.

Vv
 
Nurdin Bakari, kijeba wa Serengeti ambaye alisababisha Serengeti itolewe na kufungiwa kushiriki mashindano ya U17 baada ya kupimwa na kuonekana ni kijeba.

Vv
Haha kwenye video kaelezea hio ishu alisema alimwambia maximo na viongozi wengine kuwa amezidi miaka 2 lakini wale viongozi na maximo wakasema baki hivyo hivyo ,sasa Tff sijui fat kulikuwa na ugomvi ,mtafaruku wa viongozi sasa kiongozi mmoja akaenda kuchoma kwa kalushabwalya ..wakatizama saini aliyosaini simba amezidi miaka 2 ..

Hakupimwa nyaraka za simba na Serengeti zilitofautiana
 
kocha hakuwa Maximo bali Kibadeni aache uongo kilichomponza wakati Simba inashiriki michuanoya CAF walituma leseni kabla ya yeye kushiriki michuano ya CAF ya vijana
 
Hakika kila mtu ana enzi zake,Nurdin naye anaongea mmm bangiiii hadi uwanjani
 
Back
Top Bottom