Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kwenye video kaelezea hio ishu alisema alimwambia maximo na viongozi wengine kuwa amezidi miaka 2 lakini wale viongozi na maximo wakasema baki hivyo hivyo ,sasa Tff sijui fat kulikuwa na ugomvi ,mtafaruku wa viongozi sasa kiongozi mmoja akaenda kuchoma kwa kalushabwalya ..wakatizama saini aliyosaini simba amezidi miaka 2 ..Nurdin Bakari, kijeba wa Serengeti ambaye alisababisha Serengeti itolewe na kufungiwa kushiriki mashindano ya U17 baada ya kupimwa na kuonekana ni kijeba.
Vv