PostGE2025 Nurdin Bilal (Shetta) achaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

PostGE2025 Nurdin Bilal (Shetta) achaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unajua kuna kitu hakieleweki SHETTA NI KIJANA na kwa bafasi yake kajaribu mfumo umekubali mnachopiga kelele nini.....
 
Huyu lazima aulee, baba yake mzazi halisi ni rafiki na mwanamtandao mkuu.

Na inasemekana 2030 anaukwaa ubunge wa Ilala..
Hii nchi hii, woiiiiih
 
Back
Top Bottom