Acha wivu wa kikeMagazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana..utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga,na wala nurkovic hata hajasema..
"Simba ni timu nzuri sana, tulikuwa tunatarajia watakuja sana kwetu kwa pressure kubwa hivyo hatukuwa na lakufanya zaidi ya kujitahidi kuwazuia" - Nurkovic.Magazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana..utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga,na wala nurkovic hata hajasema..
Sikujua kumbe nurkovic anajua kiswahili?"Simba ni timu nzuri sana, tulikuwa tunatarajia watakuja sana kwetu kwa pressure kubwa hivyo hatukuwa na lakufanya zaidi ya kujitahidi kuwazuia" - Nurkovic.
Weka clip akiongea hapa,sisi tunayajua magazeti ya bongo..Kazungumza kingereza ikatafsiriwa kwa kiswahili dogo, hilo ni gazeti la kiswahili huwezi andika kwa kiingereza.
Kwan simba hawakucheza kandanda safi?Magazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana..utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga,na wala nurkovic hata hajasema..
Kandanda lingekuwa safi sasa hivi mngekuwa mmepita nusu fainaliKwan simba hawakucheza kandanda safi?
Kweli aisee. Kuna mwandishi aliandika Haji Manara alizimia mara mbili kule sauzi. Kumbe ni inshu za uongo tu. Hii nchi tunaishi na tamaduni za kipekee sana.Magazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana..utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga,na wala nurkovic hata hajasema..
Kweli maongo sanaMagazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana, utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga, na wala Nurkovic hata hajasema.
Huko kwenu Gamboshi magazeti yanakuwa na sauti siyo?Weka clip akiongea hapa,sisi tunayajua magazeti ya bongo..
Utopolo watapingaYule striker wa Kaizer Chiefs aliewafunga Simba goli mbili peke yake timu yake ikiibuka na ushindi wa magoli manne, amekisifu kikosi cha Simba SC kwa kandanda safi waliloonesha kwenye mchezo wa marudiano ambapo Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-0 na kukitabiria kufika mbali miaka ya mbeleni.
View attachment 1796073