Nurkovic aukubali muziki wa Simba SC

Magazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana, utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga, na wala Nurkovic hata hajasema.
Maswali ya waandishi wetu ndiyo yanayotengenza hayo majibu. Mtu anauliza unamuonaje chama? Jibu lazima liwe chama ni mchezaji mzuri.
 
Boko wasimpe hata mia, sehemu za kugusa yeye anapiga shuti, sehemu ya kutoa pasi yeye shuti hata goli la pili asingekuwa karibu na goli angepaisha, imagine ukaribu ule na goli bado mpira ulipiga nyavu ya juu.
Duh... winning pressure mzee achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…