Maswali ya waandishi wetu ndiyo yanayotengenza hayo majibu. Mtu anauliza unamuonaje chama? Jibu lazima liwe chama ni mchezaji mzuri.Magazeti ya kibongobongo sio ya kuyaamini sana, utakuta tu li-mtu limeamua tu kutunga, na wala Nurkovic hata hajasema.