Ndugu wana jf natumain m_ wazima wa afya uzi
M napenda sana kujiajiri ili niwe free na mambo yangu na harakati zingine za maisha . Nilikua napenda kuuliza wanabodi wenzangu ,Ivi kunauwezekano wa nurse mwenye degree kufungua duka la pharmacy bila ya kutumia cheti cha mufamasia .
Naje kunavitu gani vya kuzingatia wakati wa kuanzisha hiyo pharmacy .
Hivo naomba mwenye uelewa anitonye/atutonye kwa sababu sitafaidika m peke angu katika uzi huu.
Ili uwe muhudumu kwenye duka la dawa basi ni sharti uwe umepata kozi ya famasia.
Zamani ilikuwa simple sana maana yalikuwa yanatolewa mafunzo maalumu kwa mkoa husika na kila atakaye anajaza fomu ya kuomba. Then mnalipa ada kidogo mnapata kozi ya wiki moja au mbili hivi then mnapewa vyeti.
Ila sasa mambo yamegeuka itampasa mtu kutafuta chuo yeye mwenyewe.
Ila sijui mengi kuhusu haya mambo, may be hoja zangu ni invalid kwasasa.