Nurse anaruhusiwa kuwa na duka la pharmacy bila mfamasia?

Nurse anaruhusiwa kuwa na duka la pharmacy bila mfamasia?

Ronzobe B29

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2017
Posts
242
Reaction score
89
Ndugu wana jf natumain m_ wazima wa afya uzi
M napenda sana kujiajiri ili niwe free na mambo yangu na harakati zingine za maisha . Nilikua napenda kuuliza wanabodi wenzangu ,Ivi kunauwezekano wa nurse mwenye degree kufungua duka la pharmacy bila ya kutumia cheti cha mufamasia .

Naje kunavitu gani vya kuzingatia wakati wa kuanzisha hiyo pharmacy .
Hivo naomba mwenye uelewa anitonye/atutonye kwa sababu sitafaidika m peke angu katika uzi huu.
 
Ili uwe muhudumu kwenye duka la dawa basi ni sharti uwe umepata kozi ya famasia.
Zamani ilikuwa simple sana maana yalikuwa yanatolewa mafunzo maalumu kwa mkoa husika na kila atakaye anajaza fomu ya kuomba. Then mnalipa ada kidogo mnapata kozi ya wiki moja au mbili hivi then mnapewa vyeti.
Ila sasa mambo yamegeuka itampasa mtu kutafuta chuo yeye mwenyewe.
Ila sijui mengi kuhusu haya mambo, may be hoja zangu ni invalid kwasasa.
 
Hairuhusuwi tafuta mfamasia
Taarifa nyungne jaribu kusearch kuna nyuz zmeelezewa vzr
 
Labda duka la dawa muhimu tu na penyewe uwe umesoma mafunzo ya ADDO...lkn kama ni pharmacy lazima mpharmacia
 
Kama wewe ni KE nitakusaidia, ila ukiwa ME sitaki na sikusaidii. [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom