MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kwa taarifa yako wengi wao hawataki hata kujua mambo ya Afrika na wanaiponda, wanajiita African American ili wasiitwe black people kwa sababu wanadai ni ubaguzi. Ni wachache sana wanaotaka kuja kwenye jalala Afrika, kwao wanaishi vizuri zaidi hata kama ni masikini, na wengi wao ni matajiri hata wenye banks.
Wacha watuponde tu maana na sisi tulivyo tunapaswa tupondwe na kila jamii, kazi yetu kuzaliana na kuomba omba misaada, hata mimi ningekua huko kwao ningewaponda sana Miafrika.
Au humu JF huwa hauoni wenzetu waliokwenda ughaibuni na kuishi huko wanavyopenda kusema "Miafrika ndivyo tulivyo", mtafute nyani gabu....