JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 54
Wakuu hebu nisaidien detail na mahali alipo na kama bado anaendelea kuigiza, muigizaji wa bongo movie wa siku nyingi aitwaye Nuru ambaye aliigiza movie kama Dangerouse desire na Sikitiko langu(aliekt bint aloishi na mchangaji).