Nusrat Hanje: Tanzania bado tunalima kama ilivyolimwa Eden

Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.

Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" imepelekea Bajeti ya Wizara hiyo kutekelezwa chini ya 50% kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

Amefafanua, "Ipo haja ya kubadilisha kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" pengine inayofanana na "Kilimo ni Oxygen ya Uchumi wa Taifa". Nafikiri kauli hii ndio inatufikisha hapa leo. Unaweza kuvunja Uti wa Mgongo ukaendelea kuishi, ila ukikosa Oxygen utakufa".
Duh, huyu Covid naye kaibuka leo
Ccm hawakumchamba kweli
 
Kupitia Covid 19
Ahaaaaaaaaaaaaaaaa! Ndugai ana maajabu yake mweee! Bunge lina wabunge wasio na Chama cha Siasa. Hii ni kali ya karne. Hivi Ndugai ni binadamu mwenye ufahamu na utashi?
 
Mataga walikuwa kama mateja
Huyu jamaa ameivuruga sana jamii na nchi yetu. yaani nchi ilikuwa inaendeshwa kama guta la mtu binafsi. unalisukuma huku na kule, kushoto, kulia, mbele, tembea! Tulikuwa kama mapunguani ful;ani vile!
 
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.

Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" imepelekea Bajeti ya Wizara hiyo kutekelezwa chini ya 50% kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

Amefafanua, "Ipo haja ya kubadilisha kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" pengine inayofanana na "Kilimo ni Oxygen ya Uchumi wa Taifa". Nafikiri kauli hii ndio inatufikisha hapa leo. Unaweza kuvunja Uti wa Mgongo ukaendelea kuishi, ila ukikosa Oxygen utakufa".
Hakuna aliyelima Bustani ya Eden toa Ushahidi Covid wewe
 
Huyu jamaa ameivuruga sana jamii na nchi yetu. yaani nchi ilikuwa inaendeshwa kama guta la mtu binafsi. unalisukuma huku na kule, kushoto, kulia, mbele, tembea! Tulikuwa kama mapunguani ful;ani vile!
Mfano mtiririko wa upandaji wa salary kwa watumishi itachukua miaka Ili uje ukae SAwa na kama atotokea kichaa mwingine.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.

Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" imepelekea Bajeti ya Wizara hiyo kutekelezwa chini ya 50% kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

Amefafanua, "Ipo haja ya kubadilisha kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" pengine inayofanana na "Kilimo ni Oxygen ya Uchumi wa Taifa". Nafikiri kauli hii ndio inatufikisha hapa leo. Unaweza kuvunja Uti wa Mgongo ukaendelea kuishi, ila ukikosa Oxygen utakufa".
Msituwekee post za wanasiasa malaya malaya. Sina muda wa kusoma hii
 
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.

Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" imepelekea Bajeti ya Wizara hiyo kutekelezwa chini ya 50% kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

Amefafanua, "Ipo haja ya kubadilisha kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" pengine inayofanana na "Kilimo ni Oxygen ya Uchumi wa Taifa". Nafikiri kauli hii ndio inatufikisha hapa leo. Unaweza kuvunja Uti wa Mgongo ukaendelea kuishi, ila ukikosa Oxygen utakufa".
Huyu naye!!! Anaongea asichokijua!!! Adam na Hawa hawkulima Eden walitakiwa kula tu na kuishi. Waalipotenda dhambi walifukuzwa Eden. Hawakuanza kulima Eden.
 
Kasome Mwanzo 2:15
Kwani bustani ya Eden Adam na hawa walilima kitu gani? navyojua Mungu aliwaweka pale wakakuta kuna kila kitu, akawaruhusu wale matunda yote kasoro ya mti wa katikati, huyu Hanje anataka kutudanganya Adam na Hawa walikuwa wakulima.
Kasome Biblia Mwanzo 2:15 ndugu. Usipende kuongea bila kufanya utafiti.
 
Mbunge wa Viti Maalum, Nusrat Hanje amesema Taifa bado linalima kama Adam na Hawa walivyolima Eden. Ameeleza, "Tunalima Kilimo kinachotegemea Mvua na kudra za Mwenyezi Mungu katikati ya mabadiliko makubwa ya Sayansi na Teknolojia.

Vilevile Mbunge huyo amesema kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" imepelekea Bajeti ya Wizara hiyo kutekelezwa chini ya 50% kuanzia mwaka 2016 hadi 2021.

Amefafanua, "Ipo haja ya kubadilisha kauli ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa" pengine inayofanana na "Kilimo ni Oxygen ya Uchumi wa Taifa". Nafikiri kauli hii ndio inatufikisha hapa leo. Unaweza kuvunja Uti wa Mgongo ukaendelea kuishi, ila ukikosa Oxygen utakufa".
Eden hakukuwa na kilimo cha kutegemea mvua na kudra za Mungu kila kitu kilikuwa tayari ready made
 
Back
Top Bottom