Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin Wana muhujumu Ibrahim Traore

Yeye mwenyewe kaingia madarakani kimabavu.

Yeye naye siyo malaika kivile.

Halafu ni hype job tu. Hana lolote la maana zaidi ya fake narratives za kwenye social media.
Ungeweka fake narratives tusome wote. Kwa Sasa, Traore ni shujaa kwa waafrika wengi anastahili kupingwa kwa hoja.
 
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu

Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.

Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.

Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.

Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.

View attachment 3336164
USA, France watakuwa wameingia mkabata na Jolani, kiongozi mpya wa Syria. Aliyekuwa kiongozi wa Al-Qeda. Kuissambaratisha Burkin Faso.
 
Mara sijui makaburi hayalimiwi.
Hapo bado sijaweka matambiko ya waganga mara kuvunja vyungu
Kiufupi tule bata tuuu kwa kweli maan tukifa huko kuna adhabu za ajabu ajabu..

Kuna moja niliskia kama uliwahi kula kitimoto ile siku ya kiama unalishwa kaa la moto lisafishe utumbe kudadek
 
Kwenye kitimoto na bia watanisamehe, nitameza tu hilo kaa la moto.
Utamu huu
Screenshot_20250516_221150_Google.jpg
 
Hicho kikundi hakijaanza kwa ajili ya Traure
Bali matatizo yapo tangu 2015
Naona umeijua Burkina faso hivi karibuni
 
Wewe acha ni vibaya...
Mwenzak nishawahi kula sema nilikua mtoto bado sijabarehe an inamaana nilikua sijaanza kuhesabiwa zambi..

Nilifaidi sana
Siwezi acha kumla mkuu wa meza kamwe!
Ana ladha yake ya kipekee ambayo haifananishwi na nyama yoyote ile duniani🌍🌎🌏🗺🌐
 
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu

Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.

Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.

Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.

Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.

View attachment 3336164
Tatizo la kufuata mafundisho ya Mohammad ambaye kumbe siyo wala ni mtume wa Mungu

View: https://youtu.be/WB7Lfrt3fOw?si=fcjwxIh2FVBkMhlJ
 
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu

Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.

Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.

Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.

Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.

View attachment 3336164
Hako kajamaa kenu kanaishi maisha ya tabu sana.

Dunia hii Unatakiwa kula na kupuliza na wenzio vinginevyo katakuwa kanaishi kama digidigi.
 
Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu

Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.

Wanajiita Jama’a Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.

Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.

Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.

View attachment 3336164
munafiqun
 
Leo maajabu umeanzisha uzi ukihusisha Waislamu bila kutia maneno yako ya Khanga na chuki.

Na'am, wapambanaji wa namna hiyo ni matunda ya kukosa Elimu sahihi ya dini yao Kisha itikadi mbaya na chafu kupnyezwa kwao kwa Mwamvuli wa Dini , ila ukisoma mafundisho yetu ni marukufu kufanya uasi na kutoka kinyume na Mtawala hata kama mtawala akiwa muovu na jambo la kutoka katika utii wa matawala ni jambo zito.

Na hukumu ya watu hao ni kuuwawa popote watakapo jitokeza na Wanaitwa MaKhwawarij na ni Mbwa wa Motoni , itadi hiyo imeanza Zamani tokea enzi ya Maswahaba (Allaah awaridhie) na waliwahi Kumua Swahaba Uthmaan Inb Afan (RadhiyaAllaahu'Anhu) kwa kutaka kumpindua.

Hawa wa sasa Alqaeda, Boko Haram , ISIS , Al shabaab nk tofauti Yao na wale wa Zamani ni kwamba wa sasa wanatumika kwa maslahi ya Wamagharibi.

Lakini siku zote waislamu miaka na miaka hutumika sana ni kama hawapendi ku reason au kufikiri. Hili tatizo la kuwa na Dini. Ndo maana Wakristo wanakataa Ukristo kuwa Dini kutumika kuua wengine. Wao watakupinga hata wewe mkristo mwenzao. Elimu ni shida kwa waislamu na wengi sana ni maamuma.
 
Back
Top Bottom