James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Ungeweka fake narratives tusome wote. Kwa Sasa, Traore ni shujaa kwa waafrika wengi anastahili kupingwa kwa hoja.Yeye mwenyewe kaingia madarakani kimabavu.
Yeye naye siyo malaika kivile.
Halafu ni hype job tu. Hana lolote la maana zaidi ya fake narratives za kwenye social media.
USA, France watakuwa wameingia mkabata na Jolani, kiongozi mpya wa Syria. Aliyekuwa kiongozi wa Al-Qeda. Kuissambaratisha Burkin Faso.Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jamaβa Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.
Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.
Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.
View attachment 3336164
Bwana weeeShida sio dini,shida wafuasi wenyewe
Pia kuna JihadKuna alshabibi
Weee dini.ina mambo mengi..Pia kuna Jihad
Mara sijui makaburi hayalimiwi.Weee dini.ina mambo mengi..
Bado kuna ile sijui ng'e wanakuj makaburini
Kiufupi tule bata tuuu kwa kweli maan tukifa huko kuna adhabu za ajabu ajabu..Mara sijui makaburi hayalimiwi.
Hapo bado sijaweka matambiko ya waganga mara kuvunja vyungu
Kwenye kitimoto na bia watanisamehe, nitameza tu hilo kaa la moto.Kiufupi tule bata tuuu kwa kweli maan tukifa huko kuna adhabu za ajabu ajabu..
Kuna moja niliskia kama uliwahi kula kitimoto ile siku ya kiama unalishwa kaa la moto lisafishe utumbe kudadek
Wewe acha ni vibaya...Kwenye kitimoto na bia watanisamehe, nitameza tu hilo kaa la moto.
Utamu huu View attachment 3336491
Siwezi acha kumla mkuu wa meza kamwe!Wewe acha ni vibaya...
Mwenzak nishawahi kula sema nilikua mtoto bado sijabarehe an inamaana nilikua sijaanza kuhesabiwa zambi..
Nilifaidi sana
Astaghaffillah ππππSiwezi acha kumla mkuu wa meza kamwe!
Ana ladha yake ya kipekee ambayo haifananishwi na nyama yoyote ile dunianiππππΊπ
Tatizo la kufuata mafundisho ya Mohammad ambaye kumbe siyo wala ni mtume wa MunguWaislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jamaβa Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.
Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.
Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.
View attachment 3336164
Hakuna hiyoAstaghaffillah ππππ
Utaungua vbaya ww
Hako kajamaa kenu kanaishi maisha ya tabu sana.Waislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jamaβa Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.
Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.
Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.
View attachment 3336164
We jitie wazimu hv hvHakuna hiyo
munafiqunWaislamu ni rahisi kutumika kwa maslahi ya wakuu
Ona sasa Traore ambaye ni muislamu mwenzao wanamshambulia. Juzi magaidi wa Alqaida ambao wanaundwa na kabila la Tuareg waliua wanajeshi 90 wa Burkinafaso. Jana wameua tena wanajeshi 200 wa Burkinafaso.
Wanajiita Jamaβa Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM) wakiwa part ya alqaida. Lengo lao ni kuzitawala nchi za Sahel ambazo ni Mali, Niger na Burkinafaso kwa bendera ya Uislamu wa kisuni.
Bilashaka kundi hili sasa limeingia mkataba na Ufaransa, maana lilikuwa ni kundi lililodhoofika, gafla limepata nguvu ya kijeshi na silaha kali na kuanzisha mashambulizi mazito.
Hivyo Traore asipofanya jambo basi ataondoka kitini in the name of Allah and jihad.
View attachment 3336164
Leo maajabu umeanzisha uzi ukihusisha Waislamu bila kutia maneno yako ya Khanga na chuki.
Na'am, wapambanaji wa namna hiyo ni matunda ya kukosa Elimu sahihi ya dini yao Kisha itikadi mbaya na chafu kupnyezwa kwao kwa Mwamvuli wa Dini , ila ukisoma mafundisho yetu ni marukufu kufanya uasi na kutoka kinyume na Mtawala hata kama mtawala akiwa muovu na jambo la kutoka katika utii wa matawala ni jambo zito.
Na hukumu ya watu hao ni kuuwawa popote watakapo jitokeza na Wanaitwa MaKhwawarij na ni Mbwa wa Motoni , itadi hiyo imeanza Zamani tokea enzi ya Maswahaba (Allaah awaridhie) na waliwahi Kumua Swahaba Uthmaan Inb Afan (RadhiyaAllaahu'Anhu) kwa kutaka kumpindua.
Hawa wa sasa Alqaeda, Boko Haram , ISIS , Al shabaab nk tofauti Yao na wale wa Zamani ni kwamba wa sasa wanatumika kwa maslahi ya Wamagharibi.