PreGE2025 Nusrath Hanje: Mimi sio Msaliti, Watu wajifunze kwetu sisi ni Makamanda. Namsapoti Rais Samia na Naamini Nitarudi Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa

Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa mara nyingi watu wamekuwa na mitazamo mibaya kwenye mambo mazuri na wanachofikiria baadhi ya watu ni kuhusu mishahara na maslahi ya Wabunge wa majimbo hayo mapya badala ya kufikiria Maendeleo ambayo yatapatikana kwenye majimbo hayo kupitia mfuko wa Jimbo

Sambamba na Hilo Hanje amesema yeye sio msaliti kama wanavyosema baadhi ya watu kupitia Mitandao ya Kijamii ila yeye anachofanya ni 'kumsapoti' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Hanje amesema yupo imara na hawezi kutetereka na maneno ya watu Kwa kauli zao za kumuita msaliti kwani wapo baadhi ya wanachama wa wamesemwa kidogo wamehama Chama lakini wao Wabunge 19 wamesemwa sana mpaka Leo hawajatetereka

Aidha Hanje amesema kuwa muda ukifika atatangaza anaenda Chama Gani ambacho kitakuwa na manufaa Kwa wananchi ili akagombee nafasi ya Ubunge Mkoani Singida na anaamini atarudi Tena Bungeni.

Sambamba na Hilo Mhe. Hanje amesema yeye sio msaliti kama wanavyosema baadhi ya watu kupitia Mitandao ya Kijamii ila yeye anachofanya ni 'kumsapoti' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Hanje amesema yupo imara na hawezi kutetereka na maneno ya watu Kwa kauli zao za kumuita msaliti kwani wapo baadhi ya wanachama wa wamesemwa kidogo wamehama Chama lakini wao Wabunge 19 wamesemwa sana mpaka Leo hawajatetereka

Aidha Hanje amesema kuwa muda ukifika atatangaza anaenda Chama Gani ambacho kitakuwa na manufaa Kwa wananchi ili akagombee nafasi ya Ubunge Mkoani Singida na anaamini atarudi Tena Bungeni
View attachment 3333294
Ukamanda hauko lege lege
 
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa

Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa mara nyingi watu wamekuwa na mitazamo mibaya kwenye mambo mazuri na wanachofikiria baadhi ya watu ni kuhusu mishahara na maslahi ya Wabunge wa majimbo hayo mapya badala ya kufikiria Maendeleo ambayo yatapatikana kwenye majimbo hayo kupitia mfuko wa Jimbo

Sambamba na Hilo Hanje amesema yeye sio msaliti kama wanavyosema baadhi ya watu kupitia Mitandao ya Kijamii ila yeye anachofanya ni 'kumsapoti' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Hanje amesema yupo imara na hawezi kutetereka na maneno ya watu Kwa kauli zao za kumuita msaliti kwani wapo baadhi ya wanachama wa wamesemwa kidogo wamehama Chama lakini wao Wabunge 19 wamesemwa sana mpaka Leo hawajatetereka

Aidha Hanje amesema kuwa muda ukifika atatangaza anaenda Chama Gani ambacho kitakuwa na manufaa Kwa wananchi ili akagombee nafasi ya Ubunge Mkoani Singida na anaamini atarudi Tena Bungeni.

Kwani lazima uwe mbunge? Hata ukiwa mwanamke unaetoa mihadhara ktk shughuli za kiislam za wanawake ni moja ya jukumu kubwa la kuitumikia jamii
 
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa

Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa mara nyingi watu wamekuwa na mitazamo mibaya kwenye mambo mazuri na wanachofikiria baadhi ya watu ni kuhusu mishahara na maslahi ya Wabunge wa majimbo hayo mapya badala ya kufikiria Maendeleo ambayo yatapatikana kwenye majimbo hayo kupitia mfuko wa Jimbo

Sambamba na Hilo Hanje amesema yeye sio msaliti kama wanavyosema baadhi ya watu kupitia Mitandao ya Kijamii ila yeye anachofanya ni 'kumsapoti' Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Hanje amesema yupo imara na hawezi kutetereka na maneno ya watu Kwa kauli zao za kumuita msaliti kwani wapo baadhi ya wanachama wa wamesemwa kidogo wamehama Chama lakini wao Wabunge 19 wamesemwa sana mpaka Leo hawajatetereka

Aidha Hanje amesema kuwa muda ukifika atatangaza anaenda Chama Gani ambacho kitakuwa na manufaa Kwa wananchi ili akagombee nafasi ya Ubunge Mkoani Singida na anaamini atarudi Tena Bungeni.

kamanda gani ananunulika kwa vipande thelathini vya fedha!
 
Ningemshauri fedha zake za.mafao ya ubunge azitumie kufanya shughuli nyingine akiziingiza kwenye kampeni atakuwa anatoa sadaka.
Manake kwa usaliti ni kweli anafahamika hivyo na hawezi kuaminika tena asijejidanganya akaingua field
 
Nsurat Hanke ndiyo maana amezalishwa hovyo huyu. Ana watoto 3 kila mmoja na babake, na sasa kajiegesha kwa Kitenge.
 
Back
Top Bottom