Kumbe msukuma? Ndo maana wanakuchuna
si umeuza ng'ombe
na unashangaa shangaa mno
mbona K'nyama hamna mabugando
Je angekuwa wa posta kule town?
Ulilwe!
Ha ha ha ha, hukuonja vizuri
ana kichumvi
anakaa kijitonyama.
habari yako mkuu
sikukuu yote umepotea
au ndio yale umeme kukatika eeeehh
haya leta habari
Hahaha, kaka umenifanya nipaliwe kwa kicheko! Inabidi wifi aniletee juisi ya mix ya ukwaju na ubuyu, koh koh! Sasa jogoo pori ndo anakuwa hana banda au?