kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 May 5, 2023 #1 Yanga haiwezi kuruhusu Simba wainue makwapa msimu huu.
Stephen M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 371 Reaction score 379 May 5, 2023 #2 Hakuna mpira wa kumruhusu timu ishinde. Kila timu malengo ni kubeba vikombe hasa timu zilizoingia 4 bora ya Azam. Kwa hiyo timu yoyote ikifungwa ndio uwezo wao ulivyo hakuna kuachiana Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mpira wa kumruhusu timu ishinde. Kila timu malengo ni kubeba vikombe hasa timu zilizoingia 4 bora ya Azam. Kwa hiyo timu yoyote ikifungwa ndio uwezo wao ulivyo hakuna kuachiana Sent using Jamii Forums mobile app