Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
Hawa yanga wamekuja na upuuz gani papy katoka na Niyonzimabasi.... basi.... basi.... basi... zimewatosha hawa vyura, siku nyingine hawatorefusha midomo
Tutawaua
We are Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa yanga wamekuja na upuuz gani papy katoka na Niyonzimabasi.... basi.... basi.... basi... zimewatosha hawa vyura, siku nyingine hawatorefusha midomo
Hahahaha naona we umetulia kwa 3 🐸🐸🐸Tulia weweeee!
Upo wiki hii umepiga sana keleleKazi ya Uganga wa kienyeji inakufaa sana
Niombe radhi mkuu yani mimi niwe chura!!! Tangu lini?Hahahaha naona we umetulia kwa 3 🐸🐸🐸
Sawa bwana kaka samahanNiombe radhi mkuu yani mimi niwe chura!!! Tangu lini?
Wanakuaga 12 mchezaji wao Shomari Lawi Leo hayupo.Walifikaje fikaje nusu fainali? Maana ni kama kundi la watu 11 wanakimbia kimbia bila malengo
Waliidhulumu Kagera Sugar, lakini huenda ni mpango wa Mungu kwamba waje kukutana na Simba wakione cha motoWalifikaje fikaje nusu fainali? Maana ni kama kundi la watu 11 wanakimbia kimbia bila malengo
Manara alisema atawalipia leo wote waliodhurumiwa.Waliidhulumu Kagera Sugar, lakini huenda ni mpango wa Mungu kwamba waje kukutana na Simba wakione cha moto